Swali la Kafulila

Nov 13, 2010
91
7
“Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi,” alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.

Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.
 
wewe mwache huyu Kafulila anaona raha saizi lakini ipo siku atafulia na hatakumbukwa tena kwa unafiki wake anaofanya saizi!
 
"Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi," alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.

Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.
Bado sijaona swali kwa Kafulila hapa, naona statements tu....Au ni akili yangu imekanganikiwa!
 
Bado sijaona swali kwa Kafulila hapa, naona statements tu....Au ni akili yangu imekanganikiwa!

Heading inasema swali la kafulila na sio swali kwa kafulila.

Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje? (hili ndio swali lake)
 
SWALI LA MH. KAFULILA LINA MAANA KUBWA KULIKO FIKRA ZA MUANZISHA MADA NA WOTE WENYE MAWAZO MGANDO. (samahani hapo)

Ni lazima tujue tunachohitaji ni nini, pia lazima ijulikane kwamba hili bunge letu la sasa na wabunge wetu waliomo wa upinzani ni bunge la maigizo (watu bado wanajifunza namna ya upinzani na uendeshaji bunge) hebu tazameni mabunge ya wenzetu ambao tayari wanajua nini maana ya kuwa bungeni... hivyo basi KUJITENGA KUNAJENGA DHANA MBAYA NA OVU KATIKA KIPINDI HIKI NA KINAONESHA WAPI TUNAKOPELEKWA! Je ni sawa kupelekwa kama kondoo wa sadaka bila kujiuliza kwa mtu mwenye fikra? je kwanini CDM hawamtaki na hawatamtaka Mh. Kafulila? Ukiacha ushabiki na ukataka uujua ukweli basi utaona kwamba Mh. Kafulila anawazidi mbali sana kiupeo viongozi wengi ndani ya CDM na kwa hili watu wa aina hiyo hawatakiwi ndani ya vingi vya vyama vyetu vya upinzani!!
 
Kujitenga ni dhana mbovu na ovu, kujiunga na CCM ni dhana mbovu zaidi na ovu zaidi!!!!!
 
labda mimi naona kile asichokiona ndugu yangu kafulila kwenye suala hili,....anyway big up chadema ,.vyama vingine viendelee kudema_dema.
 
Sioni mantiki ya mabishano yote haya wakati kanuni zinasema wazi kuwa chama kitakachopata asilimia 12.5 ya wabunge kitakuwa ndicho chenye uwezo wa kuunda kambi ya upinzani bungeni na CDM kina vigezo hivyo bila kushirikisha vyama vingine.Kama sitakosea mwaka 2005 CUF waliunda kambi ya upinzani kwa kushirikiana na vyama vingine kwa kuwa hawakuwa na asilimia za kutosha,hata CCM walipata asilimia 61 mbona hawajashirikiana na chama chochote kuunda serikali kama mfano wa Kafulila unavyotaka?
Naona kuna harufu ya mtu kutumwa na CCM kuharibu hali ya hewa kwa upinzani.
 
"Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi," alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.

Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.

Bora kafulila umenena.

Chama hichi kingepewa Dola basi pasingekalika hapa. Ubaguzi tu ndio uliowajaa Chadema.
 
Kujitenga ni dhana mbovu na ovu, kujiunga na CCM ni dhana mbovu zaidi na ovu zaidi!!!!!
siku zote nasema hapa, vyama vyote vya siasa tulivyonavyo Tanzania bado vina uasili wa CCM nami naviogopa kuliko ukoma! Kwa sababu vipo kwa sababu ya sababu ile sababu ikiisha kuwepo kwake ni kwa mashaka! Siihitaji CCM yenu wala chama chochote kilichotokana nayo... KILICHOBADILISHWA NI CHUPA MVINYO NI ULEULE... Zidumu fikra za....!!
 
Huyo muha mbishi tu hana lolote. Anataka cheap popularity . achana naye CHADEMA songa mbele sisi tunaona tutawaelezea wasio na access ya TV au mtandao huu. kwanini wasiungane na ccm wanangangania chama kisafi ili wakiangushe. Tumewachagua hata hivyo kwa misimamo yao kama hiyo ya kupinga ufisadi. BIG UP MBOWE AND CREW.
 
Just another publicity stunt........ Ashatulizwa na CCM kuua CDM - kitu ambacho anajua hawezi.
 
hii nchi bado sana, ila mi nafurahi manake mateso ndo kwanza yanazidi kwa wananchi... Naamini wananchi wenyewe ndo tutaikomboa nchi hii na hilo halitatimia bila kupata msoto kwanza ili tufumbuke macho na tuone huu uozo kwani tuna macho, tunaangalia lakini hatuoni... Njaa za wapuuzi wachache kama kina kafulila zitatupeleka pabaya sana cdm nadhani wslijua hilo mapema ndo maana wakamtimua
 
Bora kafulila umenena.

Chama hichi kingepewa Dola basi pasingekalika hapa. Ubaguzi tu ndio uliowajaa Chadema.

Nakubaliana na wewe saana tu...chama chenye mtizamo na msimamo ambao Chadema wanaouonyesha sasa kingeshika dola kweli kabisa pasingekalika.... hususani kwa mafisadi na wa-TZ wote wanaowasujudu hawa mafisadi blindly!
 
Nina uchungu naye. Hata hivyo NCCR 2015 watapata kiti kimoja. Hamna shaka
 
Back
Top Bottom