Swali la geography

Swali la geography

Wisdom kundya

New Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari za wakati huu wana wa jamii forum.
Naomba kuuliza swali ; Kwanini anga huwa linaonekana rangi ya blue wakat wa mchana iwapo Kama hakuna mawingu?
Asante.
 
Blue unayoona ni reflection ya maji ( large water bodies) ambayo inachangiwa kwa kiasi kikubwa na mwanga wa jua!
 
Blue light is scattered in all directions by the tiny molecules of air in Earth's atmosphere. Blue is scattered more than other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.
 
kwa kiswahili plz

Mwanga wa bluu hutawanywa pande zote na molekuli ndogo za hewa kwenye anga la Dunia. Bluu imetawanyika zaidi kuliko rangi zingine kwa sababu husafiri kama mawimbi mafupi na madogo. Hii ndio sababu tunaona anga la bluu wakati mwingi.
 
nadhani, mwanga wa jua unapopiga ozone layer ndo tunaiona ile rangi ya blue baada ya hapo nayo maji ya bahari/ziwa yanaiba rangi kutoka angani ambayo ni blue.
 
Back
Top Bottom