Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,953
- 49,704
Natamani kuweka nywele zangu ile style ya kujisokota na bleach kwa mbali anaipendelea sana Shamimu Mwasha wa 8020 blog nimechoka rasta halafu sipendi weavings.Nywele zangu ni natural halafu fupi flani siwezi bana.
Je inadumu muda gani?
Pia je ile style ni decent kwenda kwa job interview?
Maana nina interview tar 28, nisijeonekana muhuni
Je inadumu muda gani?
Pia je ile style ni decent kwenda kwa job interview?
Maana nina interview tar 28, nisijeonekana muhuni