Swali kwenu wanandoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwenu wanandoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charminglady, Oct 24, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mu-hali gani wanaMMU
  naomba kuuliza swali. . . .
  Je mwanaume huwa anafundishwa jinsi ya kwenda kuishi na mkewe au mwanamke ndio huwa anafundishwa jinsi ya kwenda kuishi na mumewe au wote huwa wanafundishwa???
  karibuni kwa mjadala. . .
   
 2. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mwanamke hufundishwa, Simba dume hafundishwi kusaka nyama weeeeeeee......
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  mwanaume kichwa cha nyumba
   
 4. f

  fergusonema Senior Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanaume hufundishwi kuishi na mwanamke kwakua hawatabiriki na inafika mahala unaweza usijue anataka nini,nguzo kuu ya mwanaume ktk ndoa ni kuishi namwanamke kwa kutumia akili,mwanamke anafundishwa kwakua wanaume wengi kuna vitu basic na common ambavyo tulio wengi tunapenda kufanyiwa na wake zetu so anafundwa ili aje na hizo abc na kuongeza na yake
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahahaa, vipi kuhusu ule msemo kwamba simba jike ndiye mtafutaji / muwindaji?
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mbona hujajibu swali?
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  fergusonema vipi kuhusu kule jandoni, hivi huwa mnafundishwa nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Uncle john

  Uncle john Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwa simba, kwa binadamu kelele nyingi mnadai haki lakini kwenye kutekeleza majukumu mnabaki nyuma. Tena kama yana husisha hela ndio kabisaa mnabana au uongo?
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  fergusonema vipi kuhusu kule jandoni, hivi huwa mnafundishwa nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Wazazi wetu miaka ya nyuma walikuwa wanafundwa kuhusu kuishi na mke wake kipindi cha kufanyiwa jando, ila siku hizi hizi jando za kisasa hakuna kufundisha wanaume jinsi ya kwenda kuishi na mke.
   
 11. Uncle john

  Uncle john Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yote kuhusu maisha ikiwa ni pamoja na kuwatawala ninyi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hapana, dume ndiyo dume, Jike siyo tafutaji, niambie kama upo tayari kuwa na mume ambaye unamtafutia...lakini ,
  Man z proud to be responsible
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Toka lini matiti ya mwanaume yakatoa maziwa!!!!
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  je kutofundishwa kwa vijana wa sasa kunaweza kuwa ndio chanzo cha kutodumu kwa ndoa za sasa?
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  chuma cha nyumba....kifundishwe na nani???...LoL
   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayefundishwa kuishi na mke au mume kwa siku moja (kitchen party). Tabia ya mtu inatengenezwa na life experience.

  Ndio maana unakuta wa mkoa fulani wako hivi na wa mkoa fulani wako vile...wanaiga matendo ya baba na mama zao...walimu wa dunia
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  unaposema kufundishwa unamaanisha nini?

  kichen party au begi party?

  unyago au jando?

  maana wazee wetu walikuwa wanafanya unyago na jando, huko si tu kumfundisha kijana na binti kuishi ndoani bali hata jinsi ya kuishi kwenye jamii nk...

  siku hizi kwa vile unyago na jando, ni jukumu la wazazi.....malezi anayopewa mtoto yanapaswa kumwezesha mtoto kukomaa na kuweza kujijenga na kuwa na familia, kuoa na kuolewa na huduma zake husika na malezi...., kuja kuwa mke/mume bora na baba/mama bora na jinsi ya kuishi na jamii charminglady, wapaswa kumle mtoto hivyo, hakuna darasa siku hizi la atajifunza kwenye groups za fb...

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kwa hivyo unataka kusema kuwa wanaume huwa wanafundishwa jinsi gani aishi na mkewe sio?
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Today??
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hapo sasa !!!!!!
   
Loading...