Uncle john
Member
- Oct 22, 2012
- 51
- 13
mamie sijamaanisha kitchen party ama beg party. ninachouliza hapa ni wakati mdada/mkaka anajiandaa kuolewa/kuoa. je wazazi / walezi huwa wanafundisha ni jinsi gani wanatakiwa kuishi na wake / waume zao????
mara chache, mara nyingi ni mbele kwa mbele, utajifunzia huko huko. Kwanza hata ukiambiwa huyo mchumba hakufai utakuwa mbishi!