Swali kwenu ninyi mlio oa na wasio oa.

Asprin asprin we haya mi yangu yatakuwa macho tu.
Achana na vitoto huko vitakupaka shombo. Tulia na wazee wenye mauzoefu yetu raha ujipe mwenyewe lol.

We umesema yako yatakuwa macho, basi usijali mi changu kitakuwa kichwa...:eyebrows:
 
sio mkojo ni yule mbabu wake kamchokoza ndotoni anakuwa kesha simama anamwambia wake up boss is time for totoz huyu huwa analala mkono kauweka ikulu

Alaa kumbe muda wote ye huwa anamsalimia jamaa yake.
 
Achana na vitoto huko vitakupaka shombo. Tulia na wazee wenye mauzoefu yetu raha ujipe mwenyewe lol.

We umesema yako yatakuwa macho, basi usijali mi changu kitakuwa kichwa...:eyebrows:

Mi ntashika mguu siku hiyo sawa?
 
Inamaana mtu ukiwa umeoa hubanwi na mkojo asubuhi? Nadhani hayo ni maneno tu yasiyokuwa na mantic yoyote
Shine mkojo utakaokubana ni ule wa madhiwa sio wa juisi ya pasheni.
 
Last edited by a moderator:
Achana na vitoto huko vitakupaka shombo. Tulia na wazee wenye mauzoefu yetu raha ujipe mwenyewe lol.

We umesema yako yatakuwa macho, basi usijali mi changu kitakuwa kichwa...:eyebrows:

LOL...Kichwa kipi hicho cha chini au cha juu?
 
Hahahaha chenye permanent kipara na jicho moja si ndo kizuri au?............Tafazali sana...:"Don't blame the boss. He has enough problems"
 
hahahaha........kama ni hicho tayari ninacho chenye urimbo wa Level na sitaki afe kwa peresha, nenda kwa The secretary anakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha........kama ni hicho tayari ninacho chenye urimbo wa Level na sitaki afe kwa peresha, nenda kwa The secretary anakusubiri.
Nasikitika unanipiga kibuti hadharani. Afu unanipigia debe kwa katibu muhtasi ambaye hana time na mimi kabisa. Naye kanipiga chini pia, si umemsoma hapo chini?. Hebu nfanyie mpango kwa Yummy basi, kama kweli unanipenda kiviiiiiile...

We nenda na vibabu vyako nina alergy navyo kanishindwa BISHANGA IJE KUWA HUYU
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
LOL.....Secret huyu sio kama Bishanga Dr.Love Asprin anajua kulea nakutimiza maadili ya ndoa za matala.
:poa:poa:eyebrows::eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika unanipiga kibuti hadharani. Afu unanipigia debe kwa katibu muhtasi ambaye hana time na mimi kabisa. Naye kanipiga chini pia, si umemsoma hapo chini?. Hebu nfanyie mpango kwa Yummy basi, kama kweli unanipenda kiviiiiiile...

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

:poa:poa:eyebrows::eyebrows:

Lijali kama wew huhitaji kuwa na kuwadi hasa kwa mtoto mzuri kama Yummy Bishanga aweza toa dau kubwa la ukuwadi ukamkosa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom