AminaaaaKuchepuka sio jambo jema hata kidogo haijalishi kwa mke ama mume, maana mke akipata kirusi dume na mume ataleta kirusi jike. Mwisho wa sikunyumba imegawanyika.
Nawasihi wanaume wenzangu, tuamue kutulia kuchepuka sio jambo jema.
Weekend nikukute wapi? Nina zawadi yako🤸Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.
Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.
Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
Nitakuwa pale kwa mkapa pembeni yake kuna kapun flani njoo tuanze wikend hapo huku tukiviandaa viungo vyetu kwa ajili ya kuunganishwaWeekend nikukute wapi? Nna zawadi yako🤸
Imeisha hiyo, jiandae na derby....matokeo tutawasimulia Sisi🤣Nitakuwa pale kwa mkapa pembeni yake kuna kapun flani njoo tuanze wikend hapo huku tukiviandaa viungo vyetu kwa ajili ya kuunganishwa
Yaani tunamwagilia moyo mara tatu...kwanza kwa monde, then kwa mpira na mwisho kabisa kwa mgegedo🤣🤣🤣🤣Imeisha hiyo, jiandae na derby....matokeo tutawasimulia Sisi🤣
Hawa watakatifu wa humu wasiotaka kuchepuka waache wapishane na Raha!
Imeisha hiyo, jiandae na derby....matokeo tutawasimulia Sisi
Hawa watakatifu wa humu wasiotaka kuchepuka waache wapishane na Raha!
Tangu ujiunge na jf leo umetoa madini ya maana.Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.
Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.
Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
Nakugawa😀Imeisha hiyo, jiandae na derby....matokeo tutawasimulia Sisi🤣
Hawa watakatifu wa humu wasiotaka kuchepuka waache wapishane na Raha!
Sasa wewe mwanaume utachepuka na mwanaume mwenzako? Au una maanisha nini?Mwanamke akichepuka piga chini huwezi kaa na bitch ndani utakufa kwa presha bure
Mie ndio maana nasema wee ni chizi ila ni chizi ambaye ningependa kiwa nawe kama life partner.Tangu ujiunge na jf leo umetoa madini ya maana.
Acha uongo. Mwanamke akichepuka nae ni tamaa tu.Unamsemeaje mwanamke wakati wewe ni mwanaume ?Mwanaume akichepuka, ni tamaa tu ila ana upendo na mke wake. Ila mwanamke akichepuka anahamishia upendo wote kwa mchepuko wake, kuna siku atatamani ufutike katika USO wa dunia ili aendelee na jamaa anaemfikisha kileleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio hapo sasa!Yaani nife na nyege zangu we mjamaa vipi.