Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?