Swali: Kwanini wavaa Hijab wako hivi?

Swali: Kwanini wavaa Hijab wako hivi?

Status
Not open for further replies.
Mkuu sina shida na uislama kabisa, nimeukuta na nitauacha. Nataka kujua, maana lengo la kusuka nywele ni ili uwe na muonekano mzuri, sasa kama wanazificha kwanini wazisuke?

Unataka tunyoe vipara?
 
Kwani hao ambao hawajaolewa hawatakuja kuolewa?Vitu vingine uwe unafikiria kwanza kabla yakukurupuka kuandika hapa
 
Wanafuata mila za waarabu, kama wewe ulivyofuata mila na desturi za wazungu.
Sisi waafrika kazi yetu ni copy & paste...!
 
Kwa ufupi wanadhalilisha maana ya hijab.

Hawatakiwi kuvaa hivyo kwa kuweka manundu nyuma kama wamefunga zigo gani sijui!!

Wengi wao wanaovaa hivyo ni wale wahuni wahuni.

Hakuna hijab ya aina hiyo unayosema.

Wanaovaa hivyo watakuwa sio mabinti wa kislam na kama ni waislam basi ni wale wanaovalia wazazi wao!

NOTE: kama umeamua kuvaa hijab basi vaa hijab iliyo sahihi sio kudhalilisha uislam kwa hizo hijab zenu za hovyo hovyo.
 
Mkuu sina shida na uislama kabisa, nimeukuta na nitauacha. Nataka kujua, maana lengo la kusuka nywele ni ili uwe na muonekano mzuri, sasa kama wanazificha kwanini wazisuke?

Ni kanuni, sheria, utaratibu, au desturi !? muonekano mzuri ni haki yako kuuona !? wale wanao tembea mgongo wazi na kichwa wazi hawatoshelezi kiu yako !?.....kama umeoa, wake za watu na mabinti wanakuhusu nini !?...
Wewe mbona unavaa boxer na suruali ?
Uislaam haudhuriki kwa chuki zako !
 
Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?

Umewashwa na wavaa hijabu, hujawahi kuwashwa na wale wanaweka mawigi makanisani mwenu? Mtu pure black Halafu anaweka nywele za bandia za kijerumani yaani kama limdoli la kuuzia nguo, hayo hujashangaa umeona hijabu tu kapumbu weee
 
Mimi nilidhani inasaidia kupendeza mbele ya watu, kwani dunia nzima ingekuwa ni wanawake tu mngejilemba?

Hebu nipe faida za kusaidia kupendeza mbele za watu??kitu muhimu ukipendeza ww mwenyewe ufurahie kama umependeza ni kwa kuboost self esteem yako sio kwaajili ya watu!!
 
Hivi wote wanaovaa kofia nywele zao zina muonekano mbaya
 
Wanasuka kwa sababu vazi la mwanamke la owanza ni nywele .na pia ni utamaduni tu
 
Kwa ninavyofahamu mimi, sio wote wana rasta au wamesuka, ile ni style ya ufungaji kile kitambaa kichwani kwa kukikusanya kwa nyuma. Ni kama wamama wa nigeria wanavyofunga yale mavilemba yao sio kama wana manywele mengi kichwani ni style tu ya ufungaji.
 
Swali la kijinga, alafu hata hueleweki unataka nini? Sasa ukishajua wanafuga nywele itakusaidia nini?

Sasa kama ni swali la kijinga kivipi wakati na wewe bado unauliza maswali zaidi kuhusiana na swali zake.!!
Ukiona ujinga unapita kimya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom