Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,385
Ni Washenzi Sana Hao Madada Kuna Mmoja Nimecheza Naye Dili Akanitapeli Hela Yangu Laki Nne Mpaka Leo Siongei Naye Na Akiniona Ananikimbia Halafu Ukimuangalia Ni Mtu Wa Ibada Kila Mara Kumbe Mshenzi Yaani Toka Sasa Simuamini Mwanamke Anayevaa Ijabu wala buibui