Swali kwako Ndugu. Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwako Ndugu. Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbimbinho, Jul 19, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Shikamoo Mzee wangu.
  Natumaini upo vizuri na unaendelea vyema kabisa na kazi zako mbalimbali either za kujenga taifa ama za kubomoa.
  Najua unaweza jiuliza kwanini nimesema za kubomoa taifa.Mzee wangu wewe ni mmoja kati ya Wanasiasa wa Tanzania ambao huwa nawaona ni wa kweli na ni watu ambao huweka mbele maslahi ya taifa bila kificho. Lakini nilishtushwa hivi karibuni ulipokuwa bungeni kwa kauli yako uliyoitoa kuhusu Posho. Kama unakumbuka kuna kipingi nyuma ulishatoa kauli nyingine kuhusu hii posho pale mzumbe, Nanukuu kauli zako.


  1. Ubunge ni hiari hivyo siooni sababu ya wabunge kulipwa mishara na posho kubwa, hali wafanyakazi wengine wakilipwa kidogo (Ilikuwa Mzumbe)
  2. Wanaoshadadia posho ziondolewe hususani wapinzani ni wanafiki (Ndani ya Bunge tukufu)
  Sasa mzee wangu, naomba unieleweshe, upo upande gani ili imani yangu isitikisike. Sipendi nipoteze imani juu yako ndio maana nimeuliza. Tafadhali Ndugu SItta naomba unijibu swali langu.

  Mbimbinho.
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee ni sawa na sigara nyota haina kishungi unaweza kuiwasha toka upande wowote, ni ndumila kuwili au kwa lugha fasaha ni MNAFIKI, haaminiki.
   
 3. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajibu pia kama yuko CCJ au CCM
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  msimuharibie mwenzenu kwa maswali ya kutegana, mwenzenu anataka ku ukwaa urais 2015 kwani yeye mi MTAJI WA URAIS wa vyama vingi tu vya siasa ikiwepo CCM.

  Kauli za kisiasa huwa zinafanya kazi siku hiyo hiyo, mkutano ikifungwa basi changanya na za kwako kama mbayuwayu.
   
Loading...