Swali kwa wenye wapenzi wao!

Swali kwa wenye wapenzi wao!

Habari kwenu wana JF

Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute"

Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni nini mpaka achukue uamuzi huo,anakurudishia majibu samahani mpenzi msg nimekosea sikua nakutumia wewe.

Utafanya nini?
Afu hyo ishanitokea aiseee
 
Utata ni pale mnapochati na mpenzi wako issue zingine kabisa,alafu anakutumia text "I love you too baby"

Lazima moyo usimame kidogo.
Hii ni hatari zaidi unaeza tafuta kitufe cha delete kiko wap
 
Ntampongeza kwa kuachana na mpenzi wake asiekuwarasim, nitataka anieleze kilichomfanya awe nae nakolichomfanya aachane nae
 
Ntampongeza kwa kuachana na mpenzi wake asiekuwarasim, nitataka anieleze kilichomfanya awe nae nakolichomfanya aachane nae
Maamuzi mazurii mpaka akuambiee kilichofanya atume msg kam hyo
 
Fresh tu najua kaachwa mtu...kwani kitu gani najua alikuwa ana mtu mi hata akijiambia niko mwenyewe siiweki asilimia mia binadamusisi....as long aa mi nkipata chance nachepuka poa tu....af kingine kwani kuna future kati yetu....kama ipo ok kama just kuenjoy mapenzi sina time...no stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom