kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
Siyo hapo tu. WanajengaNdege sehemu kubwa hutumia mbwembwe tu kama kuimba, kunyanyua nyanyua manyoya, kucheza cheza n.k
Na kawaida ndege dume ndiye anayejishembendua kwa ndege jike ili apewe mzigo...
BinamuHawana tofauti na sisi binadamu kuna vitu vyao wanaangalia kama Tabia,macho,miguu,midomo,kujaza kidogo n.k...