Swali kwa wapenzi wa kinywaji

Swali kwa wapenzi wa kinywaji

Hii ya taifa kwanza nimeiona kwa baadhi ya watu,ila sasa lazima ubobee ktk pub moja!!!Wadada wataiweza kwa kuwa mikoba yao ina nafasi !Kwa mimi ni mtihani
 
Kwa hali yoyote ile zile karatasi zitakuwa na madhara kwani kuna kemikali ambazo huwa zinatumika kutengeneza aina ile ya karatasi,na kwa kuwa zimewekwa kuifanya chupa iwe katika muonekano mzuri sidhani kama kuna viwango vya usalama wa mtumiaji wa kunywa kwa chupa vimezingatiwa,kama kuna mdau hapa wa TBL atujuze kuhusu hili.
Duh, ama kweli usilolijua usiku wa giza! Usitoe conclusion kama kitu hukijui, ni bora mtoa mada aliuliza maoni ya kitaalamu. Karatasi na vifaa vingine vinavyotumika kufungashia vyakula, vinywaji ikiwa ni pamoja na hiyo ndovu ni lazima isiwe na madhara kwa mtumiaji, yaani iwe "food grade". Bidhaa kabla ya kuzalishwa kwa ajili ya kuingia sokoni ni lazima ifanyiwe tathmini (evaluation) kabla ya kusajiliwa na Mamlaka husika ndipo kiwanda husika kiruhusiwe kuzalisha bidhaa hiyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
 
Ukinywa kama 'unanyonya' ndio tatizo lakini ukinywa kama 'unakiss' hutaigusa ile gundi.
Kuhusu harufu huwa inaisha unapofikia chupa ya 4 au ya 5 hivi.

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kaka umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

"drink beer save water"


hiiiii ni kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mwana ngoja nilaleeeeeee
 
Back
Top Bottom