Bora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia
Eiyer bwana bora ajichue hata akiwa hanithiii na nguvu kuisha kuliko kuanzisha generation sumbufu
hebu hilo swali muulize mtoto mdogo wa 5 yrs atakujibu kwa usahihi sana.
muulize kipi bora baba yako kuwa na wanawake lukuki au kutumia sabuni atakuambia jibu zuri sana
Bora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia
to mi yote hayafai sbb..1 ni dhambi
..2 nipo kwa ajili yake sioni sbb ya yy kufanya hivyo.
...narudisha swali kwako mtoa mada/wanaume
..1 kwnn ajichue wakati mi nipo?
..2 kwann anisaliti wakati mi nipo/nampenda?
Je ni kipi bora na kwanini? Au hakuna kilicho bora na kwanini?
Mumeo/mpenzi wako ajichue
Au
Akusaliti na mwanamke mwingine?
Niulize ufahamu wako juu ya hili. Wanawake walioolewa hawajichui?
Na ukigundua mwenza wako huwa anajichua (bila kukushirikisha) utaona kama anakucheat sawa na angelaka na mwanaume mwingine?