Swali kwa wanawake !

Swali kwa wanawake !

hzo ni kati ya sababu zangu maalum ambazo naweza kumruhusu ajichue......kulingana na swali lako umetupa tuchague kati ya hizo mbili tu.....na kwangu nachagua ya kujichua......

Vipi kuhusu madhara ya kujichua?
Au kwako sio tatizo?
 
Ooh Eiyer sasa ili ndo kiini cha swali lako si ndio? Mana kama kuna kiini chochote kinachopelekea mwenzi kufanya hayo basi ni wazi kuwa kabla ya kufikiria kipi ni cha afadhali kati ya kupiga punyeto na kutoka nje, ningependa kudeal na kiini kwanza.....................

Na kama kuna dharula tu ya kuwa mbali au ugonjwa?
 
eg.mm nimekuwa nkjichua tokea form 2..kiuhalisia siwez acha labd mpaka miak buku ijayo..siku unanifumania jf utakacrika?
 
Back
Top Bottom