Swali kwa wanawake !

Swali kwa wanawake !

wengine hujichuwa kwa kukosa mchezo kwa muda mrefu inayotokana na mwanamke eti kumkomesha kwanini hakukupa pesa ya kununua viatu
wako wanawake hutowa mara moja kwa mwezi nao hawa tuwafanyaje? nae eti anajiita ni mke wa mtu
waswahili wanasema bustani ya jirani wakati wote iko green
to mi yote hayafai sbb..1 ni dhambi
..2 nipo kwa ajili yake sioni sbb ya yy kufanya hivyo.
...narudisha swali kwako mtoa mada/wanaume
..1 kwnn ajichue wakati mi nipo?
..2 kwann anisaliti wakati mi nipo/nampenda?
 
anaweza akawa na mtu wa nje na bado akajichua, kuliko kunisaliti ni bora aniambie kuwa hawezi kuendelea na mimi ili awe huru huko anakokwenda. Yote yana madhara lakini kuwa na mpango wa kando kuna madhara makubwa zaidi. So kwa mimi ni bora ajichue
 
kikawaida punyeto huendana na kuwazia kuwa unamake love na mtu fulani,kwa hiyo muda huo huyo mume anapiga punyeto anawazia anamake love na nani?je ni wewe mkewe?kama ni wewe mkewe kwa nini basi asiifanye iwe for real?
kama wewe upo na haifanyi for real na wewe basi it's obvius ana fantasize na mdada mwingine,jambo ambalo tayari ni usaliti umefanyika,kwa hiyo mkuu Eiyer nafikiri zote mbili ni mbaya coz zote zininausaliti ndani yake.
 
Last edited by a moderator:
wengine hujichuwa kwa kukosa mchezo kwa muda mrefu inayotokana na mwanamke eti kumkomesha kwanini hakukupa pesa ya kununua viatu
wako wanawake hutowa mara moja kwa mwezi nao hawa tuwafanyaje? nae eti anajiita ni mke wa mtu
waswahili wanasema bustani ya jirani wakati wote iko green

Huyo anaetoa mara 1 kwa mwezi atakuwa na mpango wa kando!
 
Bora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia
Nyeto haina miguu mizuri, kiuno kizuri, midomo mizuri. Ni low cost but not sio damu kama mizigo ya ukweli
 
ni bonge la dharau yaani ni zaid ya kumwambia "we mwanaume gani"
km simridhishi aropoke sio kutafuta njia m-badala za ajabu ajabu

Mnanipa wakati mgumu sana kuwaelewa!
 
Hicho ulichoniuliza badili neno Mungu kwenda shetani.na ndio maana staki maswali umelitaja jina la muumba pasipo sababu,mchana mwema ndungu yangu ktk jf

Moja sijalitaja jina la Mungu
Nimetaja sifa yake ya Uungu

Pili,niliposema umesafiria mawazo ya mwingine na kumtaja Mungu nilikua namaanisha kwenye dhana nzima ya hayo kuwa ni dhambi
Usingesema hivyo kama Mungu asingesema ni dhmbi!
 
kikawaida punyeto huendana na kuwazia kuwa unamake love na mtu fulani,kwa hiyo muda huo huyo mume anapiga punyeto anawazia anamake love na nani?je ni wewe mkewe?kama ni wewe mkewe kwa nini basi asiifanye iwe for real?
kama wewe upo na haifanyi for real na wewe basi it's obvius ana fantasize na mdada mwingine,jambo ambalo tayari ni usaliti umefanyika,kwa hiyo mkuu Eiyer nafikiri zote mbili ni mbaya coz zote zininausaliti ndani yake.

Ok!

Sitakuuliza kuhusu mambo mengi uliyosema hapo,nayaweka kiporo!

Ngoja nikuulize...........
Hivi unapogundua mpenzi wako amekusaliti ni kitu gani kinakufanya ukasirike?
Je ni mazoea tu kwa kuwa umezaliwa ukakuta kuzini ni mbaya?
Au ni kwa sababu dini imekataa?
Hebu nielezeeee...................!!!!!!
 
bora ajichue tu.....napo iwe kwa sababu maalum labda tuko mbali na siwezi kumtimizia haja ya mwili wake...au kuna sababu nyingine ya kiafya siwezi kumuhudumia basi ni bora ajichue......
 
bora ajichue tu.....napo iwe kwa sababu maalum labda tuko mbali na siwezi kumtimizia haja ya mwili wake...au kuna sababu nyingine ya kiafya siwezi kumuhudumia basi ni bora ajichue......

So sababu hizi kwako zinatosha kabisa kumruhusu ajichue....ok
Kwanini umechagua hii badala ya ile nyingine?
 
ngumu kumesa aisee... yote yana maswal tata ndani yake..
1. kwanini ajichue? simtoshelezi ama?
2. kwanini anisaliti? hanipend au

ahah we bana unakuwa kama si great thinker..haya lets say

-umesafiri kwa muda mrefu au yeye kasafiri
-umejifungua au una ujauzito au una kidonda cha operation
-Unaumwa ..malaria,etc
-limetokea lolote la kutokea yeye ana hamu ya kufanya afu wewe huwezi kuwepo kwa ajili yake.
sababu ziko nyingi ...kimsingi hili ni swali zito sana ...sema unaweza kulichukulia poa..
 
1. Umetoka kujifungua na huwezi kungonoka...

2. Una mshono wa operation...

n.k
Nimeipenda watu8 ila kwa nini asivumilie tu na kungoja upone huo uzazi? Mbona mwasafiri hata miezi miwili na zaid twawangoja na kuwasubili? Ebu kuweni na utu na uvumilivu pia kama wanawake.
Ukweli hiyo si sababu hasa, huwa hatuna mishono na wala hatujatoka kujifungua na mwatoka nje.
Mh mwanaume kamwe haeleweki, sababu hazina mantiki hata kiduchu.
 
Last edited by a moderator:
Je ni kipi bora na kwanini? Au hakuna kilicho bora na kwanini?

Mumeo/mpenzi wako ajichue

Au

Akusaliti na mwanamke mwingine?


nisamehe...lakin nahisi kama unapenda kamchezo namba 1 ingawa nimetoka kwenye mada
 
Niulize ufahamu wako juu ya hili. Wanawake walioolewa hawajichui?
Na ukigundua mwenza wako huwa anajichua (bila kukushirikisha) utaona kama anakucheat sawa na angelaka na mwanaume mwingine?
definitely option 1 🙂
option 2 includes breach of trust na hiyo ni 'very big deal' to me compared to kujichua
 
Mmmhh, ngoja watoe majibu niyafanyie kazi. Nadhani ntajifunza kitu kipya kuhusu wanawake leo
 
Back
Top Bottom