Swali kwa wanawake

Swali kwa wanawake

Eid mubarak wana JF!

Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.

Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
anafata nini kwangu yani? anaishia mlangoni mbona
 
anafata nini kwangu yani? anaishia mlangoni mbona
Ndo! mnasemaga ivo ivo! then mnaishia kutapika tuuu!! toto likijazaliwa sasa! kidogo tu likilia .. utasikia... Muone bichwa lako! nyarusare mtupu! nenda kalilie kwa babakoo huko!
 
Hukooo!! koote!! mbali mwenzangu!!! wanawake wanajua kukata jicho la kumstua abadalah kichwa wazi jamani Mwee! yaani hata dada zako wa damu uwe nao makini!

akikustua na kipaja ndo kabisaaa amekumaliza! hivi weye unadhani kwa nini wanawake jeshini woote ni warembo vile?! halafu ni idara za upelelezi tupu! ka mdada km shadeeya ile kunipiga jicho tu km hilo ni kwishne!

nakupa mshahara wote! tena bila kuuliza! halafu nakuomba tena nauli! ya daladala! kuwahi kazini kesho! ungemjua Samsoni wa Delila ingekusaidia. ... Ok Adam/Eva, huyu jamaa hakupinga kupewa tunda la kati na mkewe pamoja na kupiga story na Mungu live!

kuwa asijethubutu kuonja!..... jamani hawapingiki hawa! ndo wanaozalisha hao Madikteta wengi Hatare Duniani, kwa sababu madikteta wooote Duniani wamelelewa na Single Maza! hata jiwe!

angalia sasa, Nyerere, mwinyi, Mkwere wa watu alilelewa na Babake! mkamwita dhaifu! yaani Madeemu ni hataree! huchomoki atakudaka tu si walikuzaa wao? hata ukiwa kauzu vipiii! labda asitake tu!

Dawa nakupa sasa, usipomtaka demu kuwa mpoleeee!! au jifanye mapepe fresh! chizi!! bange mtu! na nyie wadada ukimpenda mkaka, ukaona km ivo mkamate tu ivoivo! anajifanya tu huyo! ataacha soon! mpige tu limbwata mtulizo aache umapepe alee familia!
 
Upendo wa kweli haufi, na mtafutae hachoki akichoka ujue kapata. So vitu hivi vinaenda sambamba na ndio vitaleta matokeo siku ya tukio kama ni mbivu au mbichi.
 
Back
Top Bottom