Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,069
- Thread starter
- #21
Kwamba ulivompotezea nae akapata, leo umevurugwa ndio wajirudisha kwake! Kumbuka anakukubali sana ndio mana akakubali uende kwake either kwasababu yoyote ile kakubali!Ukimvutia mwanamke then ukampotezea if it wont turn tu a hate basi atakuchukulia poa sana siku ukirudi and probably hutampata kabisa.
Mademu wote waliowahi kunikubali then nikawapotezea bila kuwapelekea moto kwakua nipo kwenye mahusiano mengine sikuwahi kuwapata nlivyowarudia, until nlipogundua a rule of thumb, mpelekee moto then mpotezee ukirudi una nafasi kubwa ya kusamehewa.