Swali kwa wanawake

Swali kwa wanawake

Eid mubarak wana JF!

Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.

Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Nishawahi lala kwa mwanamke kitanda kimoja bila kulala nae.. alikuwa bikra by the moment nilikuwa napitia mauvu ya breakup

Alikuwa anajiheshimu sana na Mimi niliona ningeishia kumchezea tu
 
Dah hongera sana kwa kutomuharibia binti wawatu! So haikuwa ile love yenyewe yenyewe og ni kwakua uliachana na uliekua naye ukaenda kupoozea maumivu!! Pole na hongera pia
 
Sema unataka tukushauri uliwe kimasihara au usiliwe kimasihara....

Mi nakushauri jitongozeshe tu ila usisahau kumuhudumia huyo mwanaume maana wewe ndo unampenda na unataka kuwa nae kwenye mahusiano..
 
Hahaa! Kumbe nanyie mnaliwaga kimasihara?
 
Eid mubarak wana JF!

Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.

Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Umevunja ungo juzi hujakomaa.hizo ni genye matamanio.ila pole sana ngoja wataalam wakuje
 
Back
Top Bottom