Swali kwa wanawake.

Swali kwa wanawake.

Naona Bavaria,umeshindwa umjibu nini shemeji?
Hapana.

Kuna mada nlikuwa nachangia sehemu yenye mchanganyiko wa watu.

Nikaona nilete huku nipate mawazo yenu.
 
Hakuna la afadhal kat ya hayo akikaa kmya ntamsumbua hadi anijibu na akinijbu vbaya pia ntachukia so he better reply to me and in a polite way!
 
Bora unijibu tu nitajifikiria na kujishusha ikibidi, ukikaa kimya naona umenidharau na kunipuuza kupita kiasi. Hata kama nimekukwaza walau jibu tu "siwezi kukujibu kwa sasa/au tutaongea baadae" kuliko kukaa kimya

Bora anijibu tuu , kukaa kimya naona dharau afu hasira ndo zinazidi
Pia kama akijibu atleast aangalie maneno ya kuongea ila kama akijibu afu akaongea maneno machafu / mabovu..... hehehe hilo neno siwezi sahau , litabaki kichwani linajirudia rudia !!!!
 
Utajikuta mnajibishana.
 
Swali kwa wanawake.

93 replies

1k views

[emoji23] [emoji1] [emoji188] [emoji188]
 
Back
Top Bottom