maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,136
- 3,879
Kwakweli unaweza lia kutwa nzimaHapo upo sahihi, ila kujibiwa vibaya inakera bwana usiombe
Kwakweli unaweza lia kutwa nzimaHapo upo sahihi, ila kujibiwa vibaya inakera bwana usiombe
Bora anijibu vibaya baada y hpo namsindikiza na bonge la sonyoooooo mxieeeeeew
Na tusiii juuu mm sipendi ujingaaaKwa wewe unaweza tena bila tabu yeyote ile
Kwakweli unaweza lia kutwa nzima
Hahahaaa. Umeonaeee.Bora asijibu tu maana kuna wanaume wana Maneno machafu unaweza pata kichefuchefu wiki nzima yakazi gani sasa
Na tusiii juuu mm sipendi ujingaaa
Mie naona ajikalie tu kimya sababu huwa sipendi maudhi.
Na wanaume si ndo wanajifanyaga hawajui kuzui mihemko so sisi ndo wakujizuia,,hapo ni kukaa kimya tu ukijibiwa vibaya au kuomba Mungu asikujibu vibayaHahahaaa. Umeonaeee.
Sababu akijibu mbovu na wewe roho inaweza kuchafuka ukajikuta na yeye unampakia maneno machafu tu ambapo mwisho wa siku hamjengi bali mnazidi kubomoa.
Umeona kaka sababu hayo maneno mabaya mwishowe huwa si mzuri hivyo bora akae tu kimya basi.Upo sahihu, hilo swali kungekuwa na kwa upande wetu mimi ningejibu bora asijibu tu
Yan namtus kimya kimyaaa simwambii asikieeeeeHapo sasa ndipo mwanzo wa ugomvi utakapoanzia bora mmoja ajishushe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeelewa kichwa cha uzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa kunichekesha hehehee[emoji23] [emoji23] ndio nimekielewa nikafuta comment
Hawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tuYan namtus kimya kimyaaa simwambii asikieeeee
Kabisa sisterUmeona kaka sababu hayo maneno mabaya mwishowe huwa si mzuri hivyo bora akae tu kimya basi.