Swali kwa wanawake.

Swali kwa wanawake.

Hawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tu
Tena mm naongoz balaaaa nikiona mtu ananizingua hata kama tunaongeaa naweka simu kwenye kwapaaa kabisaa nakunja na suraaa lait wangejua hata wasingejibu vibaya
 
Bora asijibu, japo akikaa kimya napo naona amenidharau
 
Maneno ya kero na karaha awapelekee ndugu na swahiba zake akishindwa akae kimya for good.


Akiniharibia siku yangu ajiandae kuharibiwa msimu mzima...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii comment nimeipenda. ...Awapelekee ndugu na swahiba zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora ajibu vibaya ili kupitia hilo jibu baya unaweza kupima status ya Penzi imefikia kiwango gani!
Jibu baya laweza kuwa ni "indication " kuwa huenda kuna kidudu Mtu kimeingilia kati Penzi lenu!
Majibu mabaya ni mojawapo ya ishara huenda ana hawara nje na sasa Wewe Mke anaku dharau !
Pia ktk kukujibu vibaya unaweza kujiuliza maswali ambayo yakakupelekea kujitathini kisha kujirekebisha Wewe mwanamke!
Hawara nje wala hawi indicated kwa majibu mabaya maana wanaume wengine wakiwa na mahawara ndani ndo wanaukua wametulia kuliko wasipokua na hao mahawara
 
Back
Top Bottom