Aisee hii ni kama ilivyotokea kwangu kasoro mimi sikuenda kutibiwa nje, mm nilichofanya coz my hubby ni mfanyabiashara nikamwmbia kukaa home itakuwa ngumu nikamwambia tutakomaa wote kny biashara na akanielewa nashukuru Mungu we are doing better kuliko vile alivykuwa mwenyewe na vijana wake wa kaz tu sbb pia walikuwa wanamwibia sana na tumegawana majukumu, pia katika biashara zetu tunadil na vitu viwili tofaut kila mtu na biashara yake lakini mwisho wa siku tuko pamoja, life goes on, no hamu tena ya kuajiriwa ila Mungu akipenda nataka niongeze elimu hasa ya biashara coz mwanzon field yangu ilikuwa ni science