Swali kwa wanawake wote hapa...

Sasa iliyongumu ni ipi hapo??

kuamua kaka,,yani ndoa naipena,mume nampenda tena sana,halafu kazi nzuri pia....lakini kuna leo na kesho kwasababu siku hazigandi ikiokea yalonitokea mimi kwake ilhali sina kazi si itakua majanga....HAPANA! tutakaa chini tutaongea umuhimu wa mimi pia kuwa na kazi kutokana na mabadiliko ya nchi kila iitwapo leo.
 

Kazi uzuri wake nini??
Hayo unayodhani yatatokea yasipotokea??
 
ningeamua kua mpole
huku nikimbmbeleza taratiiibu aniruhusu nifanye kazi..na faida za sisi wote kufanya kazi
am sure with time,angenielewa tu na angeniruhusu
mtu kama huyo hutakiwi kumkera kabisa
Aksante mwallu, tatizo la wengi wetu hatujui kuishi na mume. Hapo mtoto wa Dot. com angekujaje juu na hivi ana kidigirii basi ingemtoka na ile.. ah wazazi wangu hawakunisomesha bure babu wee, usingeuze pazia au fenicha mie. Kumbe ishu kama hii ni kwenda nayo taratiiibu bila kuchoka mwisho atakuelewa. Siku nyingine unaichomekea kiujanja hata ukiwa Taifa.
 
Last edited by a moderator:

Kudadadeki ....................

Naleta mahari halafu kale ka duka kako kalioko kariakoo nataka ukafunge ......lol!!!!!!!!!!!
 
Ningemuomba nifungue hata kaduka cha nguo nipotezee muda pale.
Kwasababu maisha haya hakuna anayejua kesho
 
Ni kuomba tu kistaharabu bila kumkarahisha wala kumlazimisha,kwa sababu kwangu mimi kilichonishinda ni kumuomba mwanaume kila kitu..kuna vitu vingine najisikia vizuri nikivigharamia,
 
Kudadadeki ....................

Naleta mahari halafu kale ka duka kako kalioko kariakoo nataka ukafunge ......lol!!!!!!!!!!!

.....................hahah kwamba kinakukera au kinanizuia kukuhudumia ipasavyo baba? Unantafutia dhambi bure maana nkikosa kazi ntageuka kigulu na njia kwa majirani kupiga umbeya
 
Kazi uzuri wake nini??
Hayo unayodhani yatatokea yasipotokea??

hakuna mwanadamu anayeifahamu kesho yake,,na shetani yupo kazini pia kutia watu majaribuni...uzuri wa kazi ni financial security!! halafu inakufanya uwe bize kuepuka vijiwe vya mtaani kwasababu kama utakua tu nyumbani kwa vyovyote utakua na mashosti majirani ambao hupenda kupiga soga mda mwingi usipojiunga nao watakuona unaringa!!
 
Kinacho sumbua wanaume wa hivyo ni wivu hakuna zaidi!
Me kuna jamaa yangu hataki kusikia mkewe akimwambia habari ya kazi, chaajabu mwanamke ana bahati na kazi mara kadhaa amekuwa akijaribu kutuma maombi anaitwa kwenda kuanza kazi kivumbi na jasho ni pale jamaa anapo ambiwa na mkewe hizo habari za kazi...majibu yake ni yale yale ya unakosa nini!!
Kinacho nipa burudani zaidi kwa jaama ni kwamba cm ya mke wake kaiwekea passwd sehemu ya massage halafu mke wake hazijui kwa hiyo jamaa ndo huwa anaifungua anazisoma kwanza anapo hitaji!...Nikadungua huyo anaangaishwa na wivu!
 
Ni kuomba tu kistaharabu bila kumkarahisha wala kumlazimisha,kwa sababu kwangu mimi kilichonishinda ni kumuomba mwanaume kila kitu..kuna vitu vingine najisikia vizuri nikivigharamia,

Una mwanaume ambae anajua majukumu yake kwa mke bila huyo mke kuomba
Bado unahitaji kazi?
 
Kwanini unataka kupoteza muda?

Mbona wewe unajidai kuijua hiyo kesho unapotaka kazi?

Naposema kupoteza muda kwa hapo nilimaanisha kitu cha kunikeep busy na kuchemsha akili.
 
.....................hahah kwamba kinakukera au kinanizuia kukuhudumia ipasavyo baba? Unantafutia dhambi bure maana nkikosa kazi ntageuka kigulu na njia kwa majirani kupiga umbeya

Nataka kila nikija nikukute nyumbani mama
Yanini nikukute mara na mastress ya kukosa wateja
Mara snowhite kakukopa hajalipa

Sitaki upate shida mama
That's all....!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Duh umegusa maisha yangu kabisaaaa except for the "kuumwa" part
 
Ningemuambia MCHAWI MKUBWA wewe, uliniroga niumwe ili niache kazi, ulinichezea picha na kuniteka kiaina.
Ningetafuta kazi na kumtangazia uchawi kwa jamaa zangu.
 
yeye ni binadam..kuna leo na kesho anaweza asiwepo na nitatakiwa kusimama mimi mwenyewe..kuna magonjwa pia,kama nilivoumwa mie yeye nae inaweza tokea...mbali na hayo,kipato cha wawili si sawa na cha mmoja,na mie nifanyie kazi nilichosomea basi...af angenielewa akaniruhusu kufanya kazi asee..tuna maana sana kama mwanaume ana maana pia
Kwanini unataka kufanya kazi kwenye mazingira hayo?

Angekuelewa nini?
Unadhani huyo hajui anachokifanya?

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani mna jema nyie?
 
hakuna mwanadamu anayeifahamu kesho yake,

Mbona wewe unadai kuijua kwa kutaka kazi?
,na shetani yupo kazini pia kutia watu majaribuni...uzuri wa kazi ni financial security!!
Kuna watu leo wanakula hela iliyotafutwa na Babu zao
Unadhani hao babu za hao wangeweza kuzimaliza hizo pesa hata kama bibi asingefanya kazi?
halafu inakufanya uwe bize kuepuka vijiwe vya mtaani kwasababu kama utakua tu nyumbani kwa vyovyote utakua na mashosti majirani ambao hupenda kupiga soga mda mwingi usipojiunga nao watakuona unaringa!!
Wanaofanya kazi hawana mashosti?
Wanaofanya kazi hawapo vijiweni?

Nani kakuambia mtu ukifanya kazi huendi vijiweni??
 
kweli kabisa..binadamu wa aina ya huyo mwanaume wamebaki wachache sana...hutakiwi kuiharibu akili yake kwa namna yoyote ile..hutakiwi kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…