Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

Hiyo kali mkuu. Kwahiyo haipaswi kuwajua waliowabikiri wake zetu manake utakuwa msala tukiwakuta pamoja hata kama ni kwa nia njema.

Hahahaha yeah mkuu hawa wanawake we acha tu sasa pindi anapolinganisha ufanisi mzee inakuwa mbaya zaidi utakuta kumbe lihawala lake lipo Tanga wewe na wife wako mpo Dar mzee trip za kikazi lazima wakutane na hawala wakumbushie au wife anafunga safari mpaka alipo jamaa.

Na hata ukioa bikra, lazima ukishamtoa hilo "wenge" atatafuta mtu mwingine wa kuendelea nae, ima kwa talaka au kujiiba!

Yeah iwa wanapenda kubadilisha radha tofauti tofauti kama ulimuumiza basi atatafuta radha tamu pindi wanapo pata radha tamu kuliko awali ndo wanawehuka zaidi.
 
Mkuu, hapo kuna kaugumu kidogo.. Mara nyingi wanawake huwa matured mapema zaidi ya wanaume wa umri wao. Kwa mtazamo wangu binti wa miaka 22 anakuwa na mtazamo kimaisha sawa na mvulana wa miaka 25 au zaidi.

Sidhani kama hii ina ukweli wa kutosha. Nimeona Ulaya wanawake wengi huolewa na wanaume wadogo zaidi kiumri. Na hata bongo sasa hivi hii fasheni inaingia hadi vyuoni ni kama fasheni kwa msichana 3rd year ku-date na 1st year (mdogo kiumri, si kidato tu).
 
Inasemekana mwanamke anapomegwa kwa mara ya kwanza (anapokatwa bikra) anapata maumivu makali sana kiasi cha kumchukia mmegaji. Lakini cha ajabu eti mwanamke asilani hamsahau mwanaume aliyembikiri.

Hapa sawa kabisa very true.

Akikutana naye wakati wowote, hata kama ameshaolewa na mtu mwingine anapenda ajikumbushie malavidavi na mkata bikra wake.

Hapa it depends.

Besides, hivi kwa sasa wakati kuna bikra made in china kuna issue tena when it come to ubikira? Nimesoma sikuhizi mtu anaweza akanunua dawa za kumfanya awe bikra, so bikra inaweza isiwe issue and na hivyo ulivyvitaja hapo juu visi-hold.
 
Mkuu hiyo mbana sana tu iwa tunakumbushia hii ni ruksa kukumbushia game na kuna slogan inasema mahawala daima iwa hawaachani.

Hili la mahawara kutoachana wala halipingiki.
 
Sidhani kama hii ina ukweli wa kutosha. Nimeona Ulaya wanawake wengi huolewa na wanaume wadogo zaidi kiumri. Na hata bongo sasa hivi hii fasheni inaingia hadi vyuoni ni kama fasheni kwa msichana 3rd year ku-date na 1st year (mdogo kiumri, si kidato tu).

Mkuu ina maana kuwa kinachofanywa na wazungu siku zote huwa ni sahihi kwa mtazamo wako? Manake Ulaya wanawake ndiyo wana sauti kuliko waume zao, kama ni hivyo inabidi tuige na hili pia!!!
 
teh teh teh wanachungulia na kusepa ukweli unauma.
Lakini baadae watakuja kupambana na hoja we subili.

Ukweli utabakia kuwa ukweli daima. Mbona sisi hatuogopi kusema tukimega? Au kumega ni ushujaa na kumegwa ni fedheha?
 
Mkuu ina maana kuwa kinachofanywa na wazungu siku zote huwa ni sahihi kwa mtazamo wako? Manake Ulaya wanawake ndiyo wana sauti kuliko waume zao, kama ni hivyo inabidi tuige na hili pia!!!

Sijasema tuige, nimesema tu kuwa ndicho ninachoona kikitokea, kwa hiyo si kweli kuwa mwanaume lazima aoe mwanamke mdogo zaidi, hata wanawake wanaolewa na wanaume wadogo zaidi kiumri.
 
sii kweli mbona mimi nimeoa mwanamke niliye bikiri?

tatizo wachina wameingia anga zote muzee! bikira zinatengenezwa tu....sasa kujua genuine na fake ni kazi saana. hata kama mke ni used sio tatizo,inategemea wewe unatumiaje wakati wako.....unajua enzi hizi za wachina used ni bora kuliko brand new...
 
Ukweli na habari ndio hiyo.
  1. Kwanza kumbuka wakati akibikiriwa/ukimbikiri haya ni matukio ya miaka kati ya 13-20 hivyo wengi wetu tunakuwa hatujajipanga.
  2. Makuzi na akili za kitoto zinakuwa bado kabisa hazijakomaa, kwa future vision huwa haipo, hata kama ikiwepo haijengwi kwa hoja thabiti.
  3. Wengi huwa tunaingia kwenye mkumbo huu hasa katika kile kipindi cha msukumo wa "nyege chanya"
  4. Nne wengi wetu tunakuwa hatuna misingi ya uhakika ya kusimama kama sisi wenyewe binafsi kimaisha.
Hatahivyo
Mjifunze mbinu mpya za kuwabikiri mabinti bila kuwapa maumivu, hasira, chuki wala nyongo, nikipata muda nitawaandilia notes/mada za kutosha
 
Yeah mkuu hii ni kweli na wanawake wengi wakisha tolewa bikra na huyo mwanaume wanajikuta wanakuja kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na yule aliye mfundisha kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi. Anayebisha na abishe nani hapa kaoa/kaolewa na mtu aliye mbikiri/bikiriwa?

absolutely wrong .... i have a number of cases ... wako wengi tu!!
 
Nimekubali mkuu, lakini na sisi tunakuwa tumeshatumika sana. Yaani kama ni mtumba wanaume wanakuwa mtumba chakavu.

Ingetokea na wanaume nao wangekuwa wanapata mimba! hee! ,sijui watu wangejificha wapi.Wengine wangekuwa na watoto 50 kidogo.
 
Ingetokea na wanaume nao wangekuwa wanapata mimba! hee! ,sijui watu wangejificha wapi.Wengine wangekuwa na watoto 50 kidogo.

Kinachowafanya wanawake wasiwe na watoto 50 ni nini? At least tumempata lady wa kwanza aliyechangia mada. Wenzio wote wamesepa.
 
Nimekubali mkuu, lakini na sisi tunakuwa tumeshatumika sana. Yaani kama ni mtumba wanaume wanakuwa mtumba chakavu.
ila kuna Exceptional mkuu, mwanaume unapotumika sana ndio unakomaa kwenye game unakuwa ngangari zaidi lakini wanawake wakitumika sana ndio unakutana na mabonde tengefu yasiyokuwa na ardhi oevu hata utumie power tiller utachemka mwenyewe
 
absolutely wrong .... i have a number of cases ... wako wengi tu!!
ila huwa wanagombana sana kama ndio wa kwanza kumtoa bikra na kumuoa...kuna mifano pia

Angalizo
Mke ambaye wewe mume ndio wa kwanza kumtoa bikra siku akija akamegwa boda 2 boda ndio akakuta breaking news uko ndio umempoteza ndugu yangu, hapa ndio utakapowatamani waliooa used clutches. By the way kila mmoja ana faida yake
 
Kinachowafanya wanawake wasiwe na watoto 50 ni nini? At least tumempata lady wa kwanza aliyechangia mada. Wenzio wote wamesepa.

Wanawake wanatupiwa lawama wakati wote kwa kuwa ule mshahara wa kuvunja amri ya sita unaonekana physically kwao kwa ile mimba.Imetokea mara nyingi uchumba umevunjika kwa msukumo wa familia au marafiki eti kwa vile binti alikuwa na historia ya kuwa na wanaume wengi wakati huohuo huyo mwanaume siyo clean kihivyo.
Mfano mzuri upo kwa madenti wa kike,huwa wanafukuzwa shuleni na hata nyumbani wakipata mimba na wakati mwanaume aliyempa mimba ametulia tu na ndio kwanza anapongezwa eti kidume cha mbegu.mfano mwingine ni pale inapotokea mwanaume amepata safari ya kimasomo nje ,akifika huko anabadilisha wanawake atakavyo,na itokee mkewe akajaribu hata mara moja na kupanda mimba utasikia kasheshe yake.
Na hata hiyo bikra zamani katika makabila walikuwa wanaangalia kwa binti tu na sio mwanaume.Yani wanakuwekea mashangazi hiyo siku ya kuolewa wakukague usipokutwa nayo ni fedheha kwa familia yako yote na mwanaume hawamuangalii kama na yeye ni bikra.
kwa hayo huoni kuwa hakuna balance hapo katika hilo swala?Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba nao ingekuwa rahisi kuwakamata wasikane pale wanapoharibu.
 
sijaridhika na utetezi wa hoja ya ''mwanamke ukim-bikiri huwezi kumuoa''!because i have met with some ladies who were still clean at their 28yrs,na waliolewa na wanaume wao wa kwanza!
NAOMBA NIPINGANE NA HOJA YA MTOA MADA
 
sijaridhika na utetezi wa hoja ya ''mwanamke ukim-bikiri huwezi kumuoa''!because i have met with some ladies who were still clean at their 28yrs,na waliolewa na wanaume wao wa kwanza!
NAOMBA NIPINGANE NA HOJA YA MTOA MADA

mkuu bana, dah!!
icon10.gif

vp mbona umeng'ang'ania sana hapo??
 
Back
Top Bottom