Mwanaume mbaya yupo?Hamna mwanamke mbaya
Kwako ukiona mbaya mwenzio anahangaika usiku na mchana kumpata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ivi hata Adam alimtongoza Hawa mbona naona wanaume tunajipa mzigo kulitingoza jike,wakati wao ndo kazi yao hiyo toka kuumbwa kwao pale bustanini,hawa si alimwambia adam njoo ule tunda pamoja na adam kukataa lakini hawa alitumia jitihada hadi njemba akakubali kuligegeda tunda.
Kwa hili jibu tayari umeshajitanabaisha upo kundi gani katika hao wanaozungumzwaHakuna haja mbona.
Nimejitambulisha kabla ya hilo jibu.Kwa hili jibu tayari umeshajitanabaisha upo kundi gani katika hao wanaozungumzwa
Wasichan wazuri wamejawa nusara na hekima kuliko dada zangu mie. Mtu ana sura kama presdent halafu ana nyodoooo kama sijui anatoka wap sjui. Juzi tu nimemtukana mlinzi mmoja hapa offic za tigo na rungu lakeWakati wa enzi zangu za kutongoza na kitafuta mwenza wangu nilijifunza na kuexperience kitu:
Ukimtongoza mwanamke ambayo mmbaya/sio mwenye mvuto, chance za kukubaliwa ni ndogo sana kuliko ukimtongoza mwanamke mzuri na mwenye mvuto.
Wajuvi wa mambo ebu tuambueni experience zenu kama mshahawa kunote hii kitu.
[HASHTAG]#wanawake[/HASHTAG] nanyi mtujuze Kwa nn inakua hivyo?
Mmmmh nafikiri tabia ya mtu tu
Eti wewe ni mbaya [emoji87] [emoji85]
Subiri nijiangalie kwenye kioo..alafu nitakupa jibuEti wewe ni mbaya [emoji87] [emoji85]
" kioo hakidanganyi yna "Subiri nijiangalie kwenye kioo..alafu nitakupa jibu