Swali kwa wanawake na experience kwa wanaume

Swali kwa wanawake na experience kwa wanaume

Mwanamke anayejijua ni mbaya wa sura zaidi ya 80% kumkosa ipo na hasa wewe ukiwa mzuri kiasi au zaidi

Sababu kuwa huwa wanajua unamkebehi tu na hata Kama atakukubali ukiona mzuri lzm umuache kwa hiyo huwa wanaepuka kutumiwa tu

Kwa hiyo mkuu changamoto ni kwamba wanajishtukia Au sio!
 
Wakati wa enzi zangu za kutongoza na kitafuta mwenza wangu nilijifunza na kuexperience kitu:

Ukimtongoza mwanamke ambayo mmbaya/sio mwenye mvuto, chance za kukubaliwa ni ndogo sana kuliko ukimtongoza mwanamke mzuri na mwenye mvuto.

Wajuvi wa mambo ebu tuambueni experience zenu kama mshahawa kunote hii kitu.

[HASHTAG]#wanawake[/HASHTAG] nanyi mtujuze Kwa nn inakua hivyo?
 
Hiyo ni kweli mkuu,

Wanawake wabaya sio rahisi kukubali. Na mwanaume anapata confidence zaidi anapotongoza demu mbaya wa sura/ asiye na mvuto

Hivyo demu mbaya anapotongozwa na mwanaume huwa hana confidence hivyo kukataa sio kwamba hapendi.. anakuwa anapenda ila tatizo HAJIAMINI na kujiona sio hadhi yako....!!

Mimi nime-experince mala nyingi saana

Movement ya empowering ugly women inahitajika[emoji28][emoji28]
 
ivi hata Adam alimtongoza Hawa mbona naona wanaume tunajipa mzigo kulitingoza jike,wakati wao ndo kazi yao hiyo toka kuumbwa kwao pale bustanini,hawa si alimwambia adam njoo ule tunda pamoja na adam kukataa lakini hawa alitumia jitihada hadi njemba akakubali kuligegeda tunda.
 
Bas mkuu wewe usitongoze... baada ya muda Leta mrejesho
 
Back
Top Bottom