Swali kwa wanawake na experience kwa wanaume

Swali kwa wanawake na experience kwa wanaume

Hiyo ni kweli mkuu,

Wanawake wabaya sio rahisi kukubali. Na mwanaume anapata confidence zaidi anapotongoza demu mbaya wa sura/ asiye na mvuto

Hivyo demu mbaya anapotongozwa na mwanaume huwa hana confidence hivyo kukataa sio kwamba hapendi.. anakuwa anapenda ila tatizo HAJIAMINI na kujiona sio hadhi yako....!!

Mimi nime-experince mala nyingi saana
Hahahah aisee kuna ukweli kwa asilimia 90% na ubaya sie mameni tunaviziaga wanawake wabovu tukijua ndio rahisi kukubaliwa ila mwisho huwa tunaishia kwenye mtoso mara nyingi ila watoto wazuri na warembo ni jino moja tu hata maringo sio sana kama midemu mibaya!

Mi mwanamke awe mzuri/mrembo na mpole tu hapo nakuwaga napata momentum ya 4G ila wale wenye wenge nawaachia wazoefu kina Daby na gudume
 
Wastage of resources n kutojimini kumtongoza mwanamke mbaya.
 
Ila kwa upande wa pili .... wanaume wabovu yaan wabaya wanakomalia hatar ,akikutongoza anakuganda sana hachoki kabisa hata umtukane ,umsumbue yeye yupo tu !!!!!!
Uzuri wao wanajiamin saana ndo maana utakuta mkaka mbovu ila anang’oa vyombo vya hatariii
 
Mmh, nahitaji ushuhuda zaidi katika hili
 
Hahahaha umenigusa mkuu mm mwenyew na experience wanawake wabaya wagumu kutoa Sana ila wazur hawana shida kabsa Wako very easy
 
Haya yananikutaga Sana, na huu ushombeshombe wangu wanafahamu fika in muhitaji papuchi tu
 
Ila kwa upande wa pili .... wanaume wabovu yaan wabaya wanakomalia hatar ,akikutongoza anakuganda sana hachoki kabisa hata umtukane ,umsumbue yeye yupo tu !!!!!!
Uzuri wao wanajiamin saana ndo maana utakuta mkaka mbovu ila anang’oa vyombo vya hatariii
Kama mimi.
 
Wanawake wenye sura mbaya hawana swaga
Huwa hawajiamini kweli na huona kama unamjoke lakini ukiweza kumuhakikishia kwamba uko serious basi unaenda kusuuza
Kiukweli tunauwezo wa kula viapo vya kuwa tupo serious japo huwa tuna lengo la kuosha tu na kuondoka
Hapo binti sura mbaya hujuta anavyoweza kujuta na maisha yanendelea
kwakweli sisi huwa niwaongo sana ''"kumwambia mwanamke kuwa unampenda wakati kiuhalisia humpndi nijambo jepesi mnooo kama kumeza mate tu""
 
Back
Top Bottom