Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
- Thread starter
-
- #41
Du! umenishtua,anyway siri yako mkuu 'sina uhakika kama nimewahi kubanjuka nje ya mahusiano yangu'...usimwambie mtu pls..
hope umenisoma mziwanda!
Ha ha ha enh!!! Binadamu hatuko perfect ati!!!! Huteleza hapa na pale katika maamuzi yetu mbali mbali na baadaye hujirudi. Siku hizi kuna hizi zinaitwa open marriage. Mimi anakuwa na njemba zake kwa nje na jamaa anakuwa na nyumba zake ndogo. Pia wanaweza kabisa kuwa wanafahamiana.
Wanaounga mkono hizi open marriage wanadai binadamu kama wanyama hatukuumbwa kuwa na mpenzi mmoja tu kwa miaka chungu nzima. Wanadai tunatakiwa tuexperience vionjo tofauti vilivyopo miongoni mwetu wanadamu na pia ni adhabu kubwa kuwa na mpenzi mmoja hata kwa miaka 3 achilia mbali miaka 35 au zaidi. Wanadai dini ndiyo ilileta haya mambo ya kupata vionjo mbali yaonekane kama dhambi na kama mnavyojua miaka ya karibuni wengi wameanza kuyapinga mafundisho ya dini wazi wazi tena bila woga. Mtazunguka butcher zote lakini nyama ni ile ile...Muulize aliyekula nyama ya kongwa kama nyama zote zina ladha ile ile 🙂
Mimi nafikiri mara nyingi mawazo na hisia zetu kwenye mahusiano, yanatawaliwa zaidi na experience ya mtu binafsi (kwamba amekutwa na mkasa fulani) au hata experience ya jamii inayomzunguka. Mfano rahisi ni mtu aliyelelewa kwenye familia ambayo wazazi walitengana toka yeye mhusika akiwa mdogo, anaweza akawa na mawazo ya kutokuoa au kuolewa kwa hofu ya historia kujirudia.
Mimi naunga mkono hoja ya mchangiaji aliyesema bado suala la mdada kupindukia pembeni ni hulka ya mtu mwenyewe. Ninaweza kuthubutu kusema akina mama/dada wana uvumilivu wa hali ya juu (kila kaka najua mtakuwa wagumu kuamini hili) kushinda akina baba. Mara ngapi zimetokea scenario za baba kukutwa (manake wanadai wao hawafumaniwi bali wanakutwa) na outcome ikawa ni baba kusamehewa, lakini that is NOT THE CASE IF THE SCENARIO IS REVERSED! Sasa, mnachosahau akina baba ni kuwa we are all humans and we have the same feelings, kama unafikiri shubiri ni chungu we feel the same taste, kwetu haijawekwa sukari!
I am very sure kuwa huyo mpindukaji hajawa full committed kwa mwenzie, honestly, when mdada akijicommit she means it.
Kwa hiyo wala usijenge hofu ya mwenzio kukosa uaminifu wakati wewe mwenyewe hujajijengea taswira ya huo uaminifu wenyewe. Tujaribu kujenga mahusiano ambayo yanatawaliwa zaidi na mawasiliano. Mimi huwa najitia ujasiri wa hali ya juu wa kutokugusa simu ya mwenzangu, lakini my cellphone is always popote kiasi kwamba kama atakuwa na kutaka kuipekua basi anaweza akafanya hivyo, and I don't feel different coz I have nothing to hide. Sasa ona yake anavyohangaika nayo, yaani haimtoki usoni...unabaki kuchekea tumboni...

sasa hii kali! akina baba wanafumaniwa wakiwa na viumbe gani kama si wanawake? it has been said, 'hell hath no furry like a woman scorned' Huu usemi si mdogo aisee. fikiri hell, then iwe dhaifu kuliko mwanamke aliyefanyiwa kadhia. men are always careless kwani anajua hata akikutwa, yataisha tu. ila mwanamke anatamani 'kutoka' lakini anajua shuruba yake pindi ikijulikana, so she makes a calculated move with no tails behind. si ndio maana tunaambiwa asilimia zaidi ya 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali? unaweza kujibu hili? BADO SIAMINI KUWA MWANAMKE NI MTULIVU KIASI HICHO.

bado pia mwanaume hawezi kujiingiza kwenye kundi la utulivu kivileeee! Nitashindwa kujibu swali lako moja kwa moja la zaidi ya asilimia 50 ya watoto kwenye ndoa si wa halali, kwa kuwa kwanza i don't believe on the statistics ulizotoa, in short upande wangu mimi naona asilimia ina walakini. Lakini hii haipelekei mimi kukataa kuwa case hizi hazipo, kwani ni kweli zipo. Ndio maana nikasema ni suala la commitment, kama huyo mdada hajajitoa kwako kilicho hayo yanaweza kutokea. Mind you, sijakataa kuwa hakuna wadada/wamama wanao-betray watu wao, wapo. Tena shukuru ukipata huyo mwenye calculated moves with no trails. Na bado siamini kama mwanamke will just tamani 'kutoka', somewhere down the line lazima pana shida...
mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.[/QUOT
kuna kitu wanaume wanaita mvutio unaotokana na mwanamke sasa kama msichana hana mvutio huo ,inakuwa ni vigumu kupata mtu wa kumsha wishi kimapenzi.
mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.
kuna kitu wanaume wanaita mvutio unaotokana na mwanamke sasa kama msichana hana mvutio huo ,inakuwa ni vigumu kupata mtu wa kumsha wishi kimapenzi.
mimi ni kidume samahani kama nachezea uwanja siyo.
unajua sehemu ya kike ni kama sahani ya mama lishe ambapo ukilia msosi inaoshwa halafu anapakuliwa mwengine anakula and so forth, hivyo kuwa mpole kwa kuwa wanawake karibu wengi ni mama lishe na siyo malaya.
pili labda uamue kuifungia sahani kabatini uwe unailia peke yako pekee ambapo nayo ni ngumu. mwache mwanamke ajichunge mwenyewe ili awe mwaminifu wala usijitie sungusungu.
cha msingi peleka mapigo muafaka katika tendo atapagawa tu
Come to think of it...nimeshindwa kuelewa kwa maana ingekuwa kweli basi yafuatayo yasingefanyikakatika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.
Tego kama na wewe hutangitangi... kama wanaume wote wakitumia tego basi kuna siku utabebwa na wheel barrow upelekwe kuteguliwa na itakuwa aibu kwako na wale wote wanaokupenda.( Nimesema wheel barrow kwa sababu ya kisa nilichowahi kusimuliwa ambapo wahusika mwanamme na mwanamke ilibidi wabebwe kwenye mkokoteni/wheelbarrow kupelekwa hospitali - nadhani huko ilikotokea hakuna gari!)nadhani solution ni tego tu!
Nyamayao Nyamayao unaongea ukweli lakini?Namwachia Mungu.
Mi nina software ya kupima kama umetoka nje.
nimecheka mpaka machozi , we fidel wewe ucnitie ubaya!
Tego kama na wewe hutangitangi... kama wanaume wote wakitumia tego basi kuna siku utabebwa na wheel barrow upelekwe kuteguliwa na itakuwa aibu kwako na wale wote wanaokupenda.( Nimesema wheel barrow kwa sababu ya kisa nilichowahi kusimuliwa ambapo wahusika mwanamme na mwanamke ilibidi wabebwe kwenye mkokoteni/wheelbarrow kupelekwa hospitali - nadhani huko ilikotokea hakuna gari!)