Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,890
- 2,777
katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.
... mwache mwanamke ajichunge mwenyewe ili awe mwaminifu wala usijitie sungusungu.
cha msingi peleka mapigo muafaka katika tendo atapagawa tu
katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.
...kabsa, kabsaaaaaaa babaaangu... 'Kunguru hafugiki eeh!'
...aaaah wapiiii!!! wala usijidanganye ndugu yangu! hata ukijitia 'cherehani', kama kusaidiwa, utasaidiwa tu!
...hamna la kufanya hapo, hata ukiomba mungu kazi bure tu!
mbu unakata tamaa mapema sana. so u dont have to trust your woman. hivyo unamchukulia kama alivyo?
...kabsa, kabsaaaaaaa babaaangu... 'Kunguru hafugiki eeh!'
...aaaah wapiiii!!! wala usijidanganye ndugu yangu! hata ukijitia 'cherehani', kama kusaidiwa, utasaidiwa tu!
...Ebwana wee,
msema kweli kipenzi cha Mungu au sio? ...i went thru a Roller coaster full of heartbreaks maishani mwangu, kiasi kwamba roho yangu imejaa ukungu, masizi na madoa ya kudumu. Hata ugombane na mama mzazi, ndugu na marafiki zako juu yake, ipo siku atakuendea kinyume tu, na kukufanya uonekana kenge tu mbele ya familia na jamii inayokuzunguka.
Nimenawa mikono katika kuwapa trust yangu kina dada...
Imetosha.
mwanajamii nimekupata ila unasema ni trust tu. kucheat bado kupo sio? ww kama mwanamke ni kitu gani kinakufanya utoke nje ya mahusiano yako?? (ila si wewe)
..... Kumbe ndo maana. Pole kaka yangu hata sie pia tumepitia huko ulikopitia wewe tena wengine in a very rough road but tunajifunza kutrust again with caution though lakini si kukata tamaa kabisa kwa sababu doing that utakuwa unamwadhibu tu kwa kosa alilofanya au walilofanya wengine.
We take the package as it comes without putting an old cloth on it and we treat a new wine in a new glass and not an old one kaka.
[FONT="Palatino Linotype" size"2"]
kipindi cha mwaka mmoja cha uchumba, fiancee (kwa kisingizio cha long distance) alishajirusha na njemba mbili unazofahamiana nazo, na huko akapata ectopic pregnancy, na kama hiyo haitoshi mrija wa pili nao uliondolewa baada ya kuziba! ...Kwa maana hiyo hata matarajio ya kupata mtoto ni sifuri! unless kwa gharama za IVF.
[/FONT][/size]
mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.
...Ebwana wee,
msema kweli kipenzi cha Mungu au sio? ...i went thru a Roller coaster full of heartbreaks maishani mwangu, kiasi kwamba roho yangu imejaa ukungu, masizi na madoa ya kudumu. Hata ugombane na mama mzazi, ndugu na marafiki zako juu yake, ipo siku atakuendea kinyume tu, na kukufanya uonekana kenge tu mbele ya familia na jamii inayokuzunguka.
Nimenawa mikono katika kuwapa trust yangu kina dada...
Imetosha.
Pole sana kwa hili,usipoumia kwenye mapenzi hujapenda kwahiyo lazima upitie vitu kama hivi japo maumivu yanatofautiana kati ya watu na watu!
Kumwamini binadamu mwenzangu tena kwenye mapenzi ni ngumu sana,ila tu inabidi uwe na imani japo kidogo angalau kutowaza mpenzi anacheat nje ya penzi lenu.