Swali kwa wanaume!!

Swali kwa wanaume!!

Hahaha...sasa sikilizeni..."mwanaume ni kichwa" naweza kusema hii sentensi nzito yenye wepesi wa kutamkwa- inampa jeuri mwanaume...si mwanaume tu: Bali mwanaume mwenye choyo...Na si choyo tu Bali --------. Kwahiyo ndio hivyo...t
 
Nakubaliana na ww ni hulka ya mtu,unadhani mfumo dume hauhusiki kwenye hili kama alivyosema Mkoroshokigoli :thinking:

wasopenda kuomba msamaha ni wanaume(mara nyingi)japo wapo wanawake as Nyani Ngabu says lakin mostly kwa wanaume huhisi kuomba msamaha ni kujidhaulisha iwe kwa mwanaume mwenzie au kwa mwanamke,
 
Last edited by a moderator:
hili jipya umenifungua macho lol,kwahio kwa sababu mwanamke umemtolea mahari anakuwa kama bidhaa kwako umfanye lolote na usijali hisia zake pia ukimkera!

mwanamke huwa hakasirik,ila hulia tu,,,ndo maana mwepes kusamehe,hata asipoombwa msamaha,ameumbwa na huruma,japo some tym anaweza kubadilika zaid ya simba
 
Nakubaliana na ww ni hulka ya mtu,unadhani mfumo dume hauhusiki kwenye hili kama alivyosema Mkoroshokigoli :thinking:

Mfumo dume na wenyewe inawezekana kabisa unachangia hiyo hali.

Na ndo maana mi nadhani vyanzo vyake ni kadhaa, pasipokujalisha jinsia.

Wapo watu ambao kiasili wao ni wagumu sana kukubali makosa yao, hata iweje.

Pia tupo ambao tukiona kama kweli tumekosea basi wala huwa hatusiti kuomba radhi, kwa sababu kufanya hivyo ndo uungwana wenyewe.

Tena huomba radhi bila shurti. Na wala hatupungukiwi na chochote.

Lakini nakubali kuwa mazingira (kama mfumo dume) nayo humjenga mtu kimtazamo. Kama mtu kazaliwa, kakulia, na kulelewa katika mazingira ya mfumo dume usiozingatia usawa kwa watu wote, bila shaka mtu huyo atakuwa na mtazamo kandamizi dhidi ya wanawake.

Mimi sijaoa. Lakini kuna wakati babu yangu aliwahi kuniuliza nani huwa ananipikia nyumbani kwangu. Nikamjibu huwa napika mwenyewe nikipata wasaa.

Ila nilishangaa kidogo kwa nini aliniuliza hivyo. Nikadhani tu kuwa huenda ni utofauti wa kizazi na mazingira aliyokulia yeye. Kwake yeye masuala ya kupika, hususan kama ni nyumbani, ni ya wanawake.

Kwanza sidhani hata anajua kupika maana nyumbani kwake hapajawahi kukosekana watoto wa kike. Wawe wanae yeye au wajukuu zake, wao kupika ndo ilikuwa na inaendelea (kwa wale ambao bado wapo kwake) kuwa wajibu wao.

So in a way you are right. People also are products of their environment(s).
 
hili jipya umenifungua macho lol,kwahio kwa sababu mwanamke umemtolea mahari anakuwa kama bidhaa kwako umfanye lolote na usijali hisia zake pia ukimkera!

Ukitolewa mahari ni sawa na kununuliwa, mengineyo yatategemea huruma ya bwana wako. Exposure and humanity.
 
Mfumo dume na wenyewe inawezekana kabisa unachangia hiyo hali.

Na ndo maana mi nadhani vyanzo vyake ni kadhaa, pasipokujalisha jinsia.

Wapo watu ambao kiasili wao ni wagumu sana kukubali makosa yao, hata iweje.

Pia tupo ambao tukiona kama kweli tumekosea basi wala huwa hatusiti kuomba radhi, kwa sababu kufanya hivyo ndo uungwana wenyewe.

Tena huomba radhi bila shurti. Na wala hatupungukiwi na chochote.

Lakini nakubali kuwa mazingira (kama mfumo dume) nayo humjenga mtu kimtazamo. Kama mtu kazaliwa, kakulia, na kulelewa katika mazingira ya mfumo dume usiozingatia usawa kwa watu wote, bila shaka mtu huyo atakuwa na mtazamo kandamizi dhidi ya wanawake.

Mimi sijaoa. Lakini kuna wakati babu yangu aliwahi kuniuliza nani huwa ananipikia nyumbani kwangu. Nikamjibu huwa napika mwenyewe nikipata wasaa.

Ila nilishangaa kidogo kwa nini aliniuliza hivyo. Nikadhani tu kuwa huenda ni utofauti wa kizazi na mazingira aliyokulia yeye. Kwake yeye masuala ya kupika, hususan kama ni nyumbani, ni ya wanawake.

Kwanza sidhani hata anajua kupika maana nyumbani kwake hapajawahi kukosekana watoto wa kike. Wawe wanae yeye au wajukuu zake, wao kupika ndo ilikuwa na inaendelea (kwa wale ambao bado wapo kwake) kuwa wajibu wao.

So in a way you are right. People also are products of their environment(s).
Well said brother!
 
Kuomba msamaha huja baada ya kureflect jinsi alivyokuumiza(hii 4 some its automatic but 4 others it comes after realizing the undesirable consequences of what they have wronged )yamkini hujamfanya ajute kosa lake kwa kumuuliza softly ukionesha kutofurahishwa na kosa hilo ili areflect maumivu uliyo nayo au pengine anatubu kwa namna nyingine tofauti na namna unayotarajia wewe!.HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAJISHUSHI KWA MWANAMKE!
 
Kuomba msamaha huja baada ya kureflect jinsi alivyokuumiza kihisia(this to some it comes automatically but to others it comes after realizing the undesirable consequences of what they have wronged )yamkini hujamfanya ajute kosa lake kwa kumuuliza softly ukionesha kutofurahishwa na kosa hilo ili areflect maumivu uliyo nayo au labda pengine anatubu kwa namna nyingine tofauti na namna unayotarajia wewe!.HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAJISHUSHI KWA MWANAMKE!
 
Nakumbuka nilimuombaga msamaha mpenzi wangu siku ile nilivyo mgegeda tigo yake...
Nilimwmbia samahani nimepitiwa kidogoo...akanisameheeeeeee.
 
Hili lipo ila sio kwa jinsia yakiume hapana aliyokutana nayo Nyani Ngabu na mimi nimeona. Kuna mdada nilikua namfahamu (ni rafiki tu) mda mwengine ananikwaza sana na kweli hua anakosea ila neno "samahani" nikama vile amekatazwa na doctor, hasemagi kabisa neno hilo. Mimi binafsi kusema "sorry" naona si shida kwangu
 
Nakubali na nishakutana vijana tofauti ambao hawasiti kuomba samahani wanapokosea...lakini kuna wale "KICHWA NGUMU".....
 
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo mtajishusha?

Jibu ni rahisi sana - mfumo dume
 
mahari si sawa na kununua bidhaa au mwanamke,ila mahar inavyowekwa kwa sasa ni sawa na kumnunua mwanamke tu,imekosa uhalisia
mh mahari ni zawadi jamani na kidini mahari anachagua mke na anapatiwa mke sasa hayo ya bidhaa yamekujaje?
 
!
!
ni kwa sababu kuomba msamaha au kutokuomba hakubadilishi lolote. Mie niliomba weee mpaka basi na hadi leo sijasamehewa naishia kuangalia profile pics tu za whats za dume lenzangu na last seen na status za kuchoma moyo.....sijui kama ntaomba msamaha kwa karne hizi za karibuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom