Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,299
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani?
Hulka binafsi na mapokeo...
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani?
"Samahani hewa" eti watu8 kuna kitu kama hiki?Sometimes mwanamke anaweza kutafsiri neno alilolitamka mwanaume tofauti na jinsi mwanaume alikuwa anamaanisha, na hata akipewa ufafanuzi hakubaliani; kwa kosa kama hili mimi siwezi kuomba msamaha kwa sababu sina kosa.
Baadhi ya makosa ni repititve, mwanaume unaona hakuna sababu ya kuomba msamaha wakati unajua kosa utalirudia, na samahani nyingi nazo zina-dilute radha ya samahani.
Ukiomba samahani unakuwa umekubali kwamba umekosa, so kuendelea kushikilia msimamo huombi samahani yoyote; au unasema tu "Samahani kama nimekukosea", hii ni samahani hewa kwa sababu haikubali kosa.
Sio kila kosa lina uzito wa samahani, makosa mengine ni madogo dogo tu, mnatakiwa kusema poa basi yaishe. Na baadhi ya wanawake ukiwa mwepesi sana wa kuomba samahani wanakuona msanii!!!
mhhhh kwahio wewe unasema mtu akikupenda kwa dhati atajishusha kuomba msamaha kama akikosea…lakini mimi nazungumzia just men in general sio lazima iwe kwenye mahusiano!!!Niseme tu....hakufeel kivile!!!
"Samahani hewa" eti watu8 kuna kitu kama hiki?
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa
mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri
wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho
kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo
mtajishusha?
mhhhh kwahio wewe unasema mtu akikupenda kwa dhati atajishusha kuomba msamaha kama akikosea…lakini mimi nazungumzia just men in general sio lazima iwe kwenye mahusiano!!!