Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo mtajishusha?