DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,650
- 81,555
Je Equation x na To yeye mbona Mada zenu hufanana je ni Mtu mmoja?
Awe na mafuta sehemu husika , kiunoni apana wala kwenye mikono wala mashavu , mafuta ya shuke kwenye kalio mapajan kidogo na miguu ishibe .
😀😀😀au basiAwe na mafuta sehemu husika , kiunoni apana wala kwenye mikono wala mashavu , mafuta ya shuke kwenye kalio mapajan kidogo na miguu ishibe .
Kuna nini mkuu?au basi
Japo miguu ni asili ila kuna mazoez ya kufanya mwanamke awe na miguu mizuriKwahiyo siye wenye miguu chupa ya soda tukimbilie wapi?
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha Betina na nani sijui yule...mama angu alikuwa anapenda sana zile katuni
Nyama ziendane na miguu , nyama nyingi bila miguu anakua kama kinu.Long tym sana Zena na Betina.
Ugali Kidogo NYAMA NYINGI.
Sure.Weee, usiniambienianze zoezi kesho
Plus Awe na ka sura fulani hivi dahh! Sio sura za baba !