Swali kwa Wanaume

Mimi kipaumbele changu cha kwanza ni SEX.. nakuwa na mwanamke kwa sababu ys SEX.. mwanamke bora kwangu ni yule ambaye hatusumbuani kwenye SEX.. mwanamke ambaye kwenye SEX hatusumbuani anapata chochote ambacho naweza kumfanyia!

Siwezi kuwa na mwanamke wa hivo.. labda nikubali then nimbane kwenye 18 zangu Nimtie!

KHAN
 

Dah...unakubali tu Kama kila mmoja atajilipia bills zake
 
😂😂😂😂😂
 
Acha uhuni kijana
 
Nitamkubalia

Baadhi ya niliokuwa nao kwenye mahusiano walikuja na gia kama hiyo halafu mwisho wa siku wakaishia kunitunuku "A For Apple" yaani tunda.
 
Umekosea, hilo si swali kwa wanaume rather ni swali kwa vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…