Swali kwa Wanaume

Hata mie kama mwanamke sikubali!
Je ukute mwanamme ana KAPENSELI au LITANGO!!!

Lazima nione ndio nifanye maamuzi kama anafaa kuishi hadi kifo kitutenganishe au hafai!!!!
lazima ujue kama anafaa kwa matumizi ya binaadamu si eti eeh
 
Kwanza atakuwa hajitambui huyo mwanamke, nitaachana nae mara moja! Sasa yeye atauaje kama mashine yangu ataifurahia ktk ndoa? Akikuta kiduchu hata kibamia kikubwa?????
 
 
🙄🙄🙄🤔
Yap mimi nimeoa bikra , nimekuta kitu freeeeeshiiiii, yaani kama hutaki mwambie kajitambulishe tu katoe mahari akiomba game mwambie mi sijawai huu mchezo we utakuwa wa kwanza usiniharibie. pole sana akina dada ambao mmesha tusuliwa hamna ujasiri basi wafundisheni wadogo zenu kwamba kitumbua inabidi kitunzweeeee
 
Sawa buanaa😂
 
Bado mapenzi hayo yana walakini.

Kwangu mimi ningekuwa mwanamke basi nisingekuja kumwamini mwanaume mnywa pombe,yani mwanaume anasema muende disco alafu mwanamke anakubali tu aaaa.hapana.

Wanawake hawako siriaz na tupu zao kabisa,lakini thamani yake wanakuja kuiona baaadae kabisa kwamba kumbe ilitakiwa kutunzwa katika kila hali.
Hii haitokei siku za mwanzo hadi mazingira ya uaminifu yatengenezwe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…