Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Unadhani ningekua nae ningekua nachat saa hizi?
[emoji4]
1527983923-picsay.jpg
 
Tokea magu aingie madarakani nyota yangu ya kupendwa na wachuchu bila shuruti imefifia sana,huyu jiwe huyu kaleta nuksi sana,enzi za jeikei ilikuwa haipiti miezi sita bila kuokota embe dodo chini ya mwarubaini,skuiz kila ninayekutana naye anakuja kichawachawa/kikupekupe.

Nakumbuka mmoja nlimkataa baada ya kumuuliza umri akanambia ana miaka 17(ukimuona anaonekana kama ana 25),alafu nchi ya ugenini,mbaya zaidi jela zao misosi hawaweki chumvi na mie mpenzi wa chumvi,nkaona isiwe shida nikamwambia sheria za nchi yako haziruhusu utansababishia majanga mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
titimunda wa latino ni wazuri.... bila shaka umewafaidi saana.

vipi sasa?
 
Inategemea, mm nikimwona mwanamke anajielewa kuanzia mazingira anayoishi + muonekano wake mzuri nayumba nae Tu, tena namkubalia ndani ya nusu saa tu. Ila nipo zangu bar naangalia mechi ghafla linatokea popo halieweki sikubali ng'ooo.
 
Umenikumbusha nilikuwa ninememaliza shule niko kwa bro nauza duka la dawa

Siku moja akaja binti akaniambia anaumwa nikamuuliza vijiswali ili kujiridhisha kinachomuuma basi nikamuuzia dawa akaondoka

Kesho yake akaja jioni kaoga kajikoki vzr yaani ukweli alipendeza , hakika sikua na wazo kabisa kwa huyu mdada maana ilionyeesha anajiheshim sana

Nikamsabahi akanijuzu anaendelea vizuri tukaanza kupiga story story , baadaye akaniuliza hivi ninyi ni madokta tu. Nikamuuliza kwa nini?

Akasema wewe huna siku nyingi hapa huwa nawakuta wakaka tofauti kama wawili lkn mnafanana sana !

Nkamjibu aliyeanzish ndo alikosea maana katupeleka mkono uleule

Baadaye akawa na aibu aibu lkn kwa kuwa najua ndo tabia za mabinti haikunisumbua ,.

Aliniacha hoi, maana aliniaga nikamuaga vzr alipotoka akasimama mlangoni akaangalia nje baadaye akaniangalia akaniambia nimekupenda sana

Akakimbia nikabaki na butwaaaaa
Hukumkimbilia??
 
Mimi niliwahi kumkataa mdada mmoja wa west Africa, sababu nilikuwa namtaka rafiki yake.
 
unamjua Rose monroe?

huko kuniunganshia ni pm mzee. ila nawakubali saana...
Mkuu niko kwenye mfungo na swaumu badi mbichi,huyo mtu simfahamu ila nimejaribu kugugo hilo jina link zinazokuja ikabidi nipige astghafirullah.
 
Back
Top Bottom