majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?Ya nini mtu udanganye hadi kwenye soda?
majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?
demu wa nini hata hela ya thoda huna!! khaaa.
unadanganya pale inapobidi