Swali kwa wanaume ila wadada pia mnaruhusiwa kuchangia

Ntakuzibia rizki as in ukipata mwanaume ni biashara eh? Na utachinjaje wakati huna 'kisu'?

Sasa kama wewe unachinja unasepa je? Si bora tu kwangu usije? Ha ha ha au nikikuleta kwangu nakuwa nimekuheshimu :peep:
 
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.

Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko huru kukupeleka kwake. kwa maelezo yao "wanaume ni kwamba et kakuheshime sana" kama hajakuheshimu angekupeleka lodge.

Lakini huyo huyo mwanaume hapo home kwake ndo anawaleta wasichana wote anaodate nao, so hiyo ni heshima au dharau????? Me nililipinga sana hili na wala haliwezi kuwa kigezo cha uaminifu.... Je wadau ninyi mnalionaje hasa ninyi mwanaume

Inaweza kuwa hana hela ya Guest ndiyo maana kakupeleka kwake! Kwa kifupi hakuna uhusiano wowote kwenye kugongwa, kama umegongwa nyumbani au guest kote ni kugongwa tu.
 
yote yanawezekana,
unaweza pelekwa kwake kwa kuwa amekuvalue au mwingine shughuli zote anamalizia kwake ... hivyo kukupeleka kwake sio guarantee ya kupendwa, unaweza kukuta mko kama wanne hivi wote mnaenda getto kwake amewapanga kama mafungu ya nyanya.......


 
Sasa kama wewe unachinja unasepa je? Si bora tu kwangu usije? Ha ha ha au nikikuleta kwangu nakuwa nimekuheshimu :peep:

Anyway most of us hatujali. Cha muhimu nyama inaliwa! Mengine utajua wewe! Hiyo heshima napita kazini, nyumbani, mtaani inanitosha
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hivi nyie wadada wa hivyo ni nani aliyewaloga?
Wewe umetongozwa na mkataba wa mahusiano ukausaini. Badala ya kukisoma vizuri kipengele kinachohusu maadili na heshima kabla hujasaini unakurupuka 2 unasign...sasa mmeshakubaliana kwenda kuongeza idadi ya wazinzi na waasherati(regardless ya venue lengo halisi ni kuongeza idadi ya watu wanaomuudhi Mungu)
--Really u want heshima now?
hujamheshimu Mungu
hujaheshimu wazazi waliokuzaa na wakakukuza kwenye maadili mema
hujaheshimu jamii iliyohangaika kukusomesha na kumwaga fedha nyingi tunazokatwa kodi kwenye mishahara ili kupigana na maambukizi ya ukimwi na kuzuia ngono zembe...

Yani ukifanywa (mahali popote hata kama ni kanisani) na hujaolewa- you are an idiot kama unafikiria kuheshimiwa..
 
  • Thanks
Reactions: LD
Yaaani mm binti akishaingia gheto tuu awe nimemtongoza sijamtongoza hawezi toka bila kuliwa.
 
hapo hakuna cha heshima wala nini. kuna wanaume wajanja sana na anaweza kuwa na wadada hata wanne na wote anawapeleka kwake na hata msijuane, anajua kuwapangilia chezea wanaume ................
 
Kupelekwa kwa 'kijana' kunaweza kuwa na maana ikiwa tu sio kawaida yake. Kuna wanaume hata wanawake ambae hua hawakaribishi hata marafiki majumbani kwao hovyo hovyo, hivyo akikuribisha wewe inamaana ya kwamba anakuvalue/like zaidi ya wale wanaoshia kua washkaji wa mtaani.

Binafsi sio tu kijana, hata rafiki. . .rafiki ambao sijui hata anapoishi (iwe nimefika ama kaniambia/karibisha) siwezi mhesibia kama mmoja wa marafiki zangu HASWA. Na ndivyo na mie nnavyofanya. Wale nnaoona kua napenda tuwe marafiki wa muda mrefu sioni tabu kuwakaribisha kwangu, ila wengine tutaishia kusalimiana mtaani na kukutana nje basi.
 
Jamani we kaka vibaya hivo, ina maana hutaki kutembelewa hata na school mate mwenzio au mfanyakazi mwenzio maadamu tu kaingia geto ndo um-do?
 
Wadada mnalo! Kama unadhan kupelekwa gheto ndo umeheshimiwa, pole sana!! kwa taarifa yenu, magheto mengi ya wavulana ni machinjioni! Machache tu, ya wale wanaojiheshim ndo huingiwa na mdada anayeheshimiwa na wewe mwenye utajua kulingana na situation yenyewe! Mf. Mmekutana tu jana kwenye daladala,mkapeana namba za sim, leo unakaribishwa gheto huku mipango yote imeshafanikishwa kwa sms,kuna kuheshimiwa hapo!?
 
Hapendwi mtu bila kumegwa hii ndo katiba mpya ya wanaume wa sasa.Mapenzi ya kihindi hamna siku hizi.Kwa mwanamke kumegwa tu shukuru wengine hata hiyo nafasi hawapati.Si mnajua mmekuwa wengi
 
Mi nina mtazamo tofauti kidogo,
kumpeleka msichana gheto unamuheshimu kwa kiasi fulan. Kuna watu wana magheto sasa akipata msichana ambae anaonekana kama kamcharuko flan shughuli anaimalizia gest house, manake mcharuko ukiupeleka gheto mtaa mzima utakucheka, vile vile atakuwa anakusumbua coz anajua unakoishi.
Ila kama mtu ni mstaarabu unampeleka gheto unamaliza mchezo hata siku ingine waweza tena kumkaribisha.
Ikiwa kijana hana pesa na kabanwa gheto anapelekwa usiku na kutolewa usiku ama asubuh sana kama madawa ya kulevya.
 
duh, naona tuko focussed sana kwenye kumega/kumegwa ... hivi kijana hawezi kukupeleka kwake ili ujue anapoishi na probably mpige story mbili tatu na kufahamiana zaidi badala ya kila wakati kukutana ofisini, vichochoroni, baa au club?
 
Demu Kama halipi kwangu simpeleki! tunamalizana gesti! Kama kifaa lazima nimng'arishe gheto hata kwa washkj inakuwa umeosha! Du yani shori bomba ndo mwakemwake!
 
Back
Top Bottom