Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Mwanamme kumgombeza mkewe naona ni sawa kabisa pale unapoona kuna mambo hayaendi sawa alafu ni kwa uzembe.
Ila sipendi kufoka kwenye simu nikiwa labda ofisini au na washikaji, huwa sipendi watu wengine wajue mambo ya home kwangu japokuwa kwa bahati mbaya inaweza ikawa imeshatokea mara kadhaa.