Wanaogopa kuibiwa waume na rafiki zao au ndugu wa rafiki zao. Vilevile Wanaume wengi hatupendi kupigwa picha na kupostiwa katika social media bila sababu ya msingi
kwa mfano mimi sina rafiki madam. Wote twakutana kazini baada ya hapo kila mtu kivyake. Sitaki marafiki wa kuzurura nao hovyo ndivyo nilivyo mimi. Labda wenye marafiki.