donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu,
Nimeona kwenye AliExpress hii kitu inaitwa TV Box. Is it worth buying? Vipi performance au tofauti yake na hizi consoles za kawaida mfano PS au Xbox? Naona ziko cheaper compared to consoles and yet ukiangalia kwenye maswala ya performance unakutana Hadi na ma 4K graphics humo.
Nawasilisha
Cc: Chief-Mkwawa