Swali kwa waliooa tu

babu mwambie akakung'oe ndevu na mvi
Hii kazi itamfaa sana alafu aone kibabu kinavyosinzia kwa jicho moja

Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!!

Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it!
 
Back
Top Bottom