Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,727
Nachokiona mm,unapoanguka tumia Muda kujitafakari wapi unafeli na mara Moja tafuta suluhisho iwe kwa kushauriana na watu,majukwaa kama haya JF na La msingi zaidi ni kumwomba Mungu huku ukiweka bidii kutafuta maana mkaa Bure SI sawa na mtembea bure