reg edit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 403
- 504
Habari wana MMU!
Ningependa kujua hivi kuna uhusiano wowote wa muonekano wa mwanamke (hapa namaanisha mavazi, vipodoz anavyopaka,nywele) na aina ya mpenzi ambaye unategemea uwe naye?
Hapa nikimaanisha kama umevaa kuanzia juu mpaka chini vitu vyenye thamani let say si chini ya 200000 basi mtu mwenye kipato cha chini ya hapo wala asijisumbue kukufuata kutangaza nia??
Siku njema!!