Swali kwa wadada walio single

Swali kwa wadada walio single

Huyu au??????

images
images

parokoo!
 
lets be reasonable! kama mtu hamuendani why try?
sijaelewa hamuendani kipato,kitabia,kiumri, au kipato tuuuu vingine,handsome? au kidini?
Au mkiendana kipato vingine vitakuja vyenyewe?
 
Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke duniani ambae anakuzidi kipato utaweza kuishi nae labda awe ameamuatu kutokujali au umri umeenda sana

Usitarajie waje hapa wakuambie ukweli

Kuna tofauti sana kati ya mwanamke wa hapa JF na wa nje ya hapa

Kuna wakati huwa nakubaliana na @Lara1 kwa yeye kuwa muwazi

Watakuambia mara oooh hujiamini,mara ooh mapenzi hayajali pesa na bla bla zingine kama hizo wakati na wao wanajua kabisa hawawezi kuishi na mtu ambae hana hela au wanamzidi kipato ..........!!!!!!!!!!!

duh dunia nzima!!!thanks for information.
 
smtms mna wrong perception khs wanawake. kwanini mnaona wanawake kuwa na kipato kikubwa ni dhambi?

kwanza hao wanaoongoza kwa kuvaa vitu vya gharama, ukifatilia waweza kuta hata kipato kikubwa hawana. so, lazima wawatafute mabuzi ili waweze kumaintain hizo gharama. wadada wenye kipato kikubwa wapo simple sana, wkt mwingine huwezi kuwatmbua kwa kuwaangalia kwa macho tu.
 
Back
Top Bottom