Swali kwa wadada tu!!

kinanape

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
128
Reaction score
30
Wasalaaam!

Naombeni kuuliza maana ya shanga/mkufu kiunoni nimeuliza wadada kadhaa uso kwa uso sijapata jibu la kueleweka.
naombeni kujua umuhimu wake jamani.

cc. Lara 1, gofswin, kongosho,smile etc

AHSANTE KWA MAJIBU
 
Mkuu hembu weka picha ya kiuno cha dada mwenye cheni ya kiunoni na shanga kiunoni na mwingine hana kabisa kitu kiunoni halafu tuchambue
 
mi mchaga bwana,mchaga na mambo ya kiuno wapi na wapi? mi nasikiaga kama wewe tu,
nasubiri ukipata jibu unipe
 
Kuna kabila fulani la kanda ya ziwa wao kila akibanduliwa na mwanaume anaonheza shanga kiunoni... so ukimkuta ana shanga mia moja jua kwamba..... malizia
 
Kumbe kwa wadada ngoja niondoke!
 
mi mchaga bwana,mchaga na mambo ya kiuno wapi na wapi? mi nasikiaga kama wewe tu,
nasubiri ukipata jibu unipe


Nikijaribu kuangalia avatar yako, naona unafanana na yule aliyechorwa baada ya mhaya.
 
Kiuno bila shanga sawa na shingo bila mkufu. Pia ni kichocheo kwa wale wanaume wanaojua thamani yake katika majamboz
 
nikijaribu kuangalia avatar yako, naona unafanana na yule aliyechorwa baada ya mhaya.
wewe wasema mi ni zaidi ya muhaya,urefu wa kinyamwezi, mguu wa kihaya,weupe wa kichaga,shape la kitusi
 
Mhhhhhhhhhhh! MADOGO LAKINI MAZITO! Nitarudi!
 
mmmh! kuna uzi niliwah kuchangia kule jukwaa la chini kabisa kuhusu kazi ya shanga na matumizi yake. sasa kama unaoufunguo wa kule nenda kajionee mwenyewe uko katika zile nyuzi za sticky na AshaDii alizifanyia collection. pale utapata aana ya shanga kwan huvaliwa, zinavaliwa ngapi, matumizi yake kidigitari na kianalogia.
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha uko deep sana.
 
Careful na hayo mashanga mengine ni uchawi.

umesema kweli mamii.
shanga uzivae mwenyewe ila usiveshwe na mtu iwe ni baba wala shangaz wala mganga wa kienyeji. shnga nunua zako dukan nenda kaitunge sie ya kiuno chako vaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…