warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,256
Tuna rais wa ajabu haijawahi tokea.
NimeyaonaTegemea matusi ya nguoni kutoka kwa vijana wa Lumumba buku 7.
Unaona ujinga wenu nyie viumbe sijui mkoje, kwahiyo ndo kichaka cha kuhalalisha upuuzi wenu?Dr Bashiru na Polepole ni wajibu wao kuzunguka,kwa sababu chama chao ndio kinaongoza serikali,ni lazima wahakikishe ilani ya chama inatekelezwa kama chama kilivyoahidi,sasa Mashinji azunguke anakagua nn kwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,yaani jiwe na references zake ni majanga tupu!Hajui senator ni nani!Ni sawa na kusema mkuu wa mkoa wa Dar aende Morogoro kupiga hizo siasa!Umewaho muona senator wa nyuu yok akienda piga kelele chicago?
Wameshikwa pabaya haoUnaona ujinga wenu nyie viumbe sijui mkoje, kwahiyo ndo kichaka cha kuhalalisha upuuzi wenu?
Mzee mekoEti demokrasia ni ile anayoijua yeys tu!Huyu Jiwe hata mifano yake ilikuwa vichekesho tu!
Nchi ya maigizo sanaNi sheria inayosema wafanye kazi kwenye majimbo yao tu?
Nchi ya ajabu sana hii. Huko USA hakuna zuio kama hilo. Tukiwaiga kwa hilo, basi tuige na mengine mengi.
Speaker Nancy Pelosi kaonyesha ni Mkuu wa mhimili mwingine - Bunge. Hapokei amri za Trump. Wote wanaongozwa na katiba tu.
Hawezi jibu naona ccm wamekimbia threadVipi kuhusu Hashim Rungwe? Yeye anaruhusiwa kufanya wapi mkutano?
Mwisho umeshaonekanika wameanza kutapatapa
Mzee mekoEti demokrasia ni ile anayoijua yeys tu!Huyu Jiwe hata mifano yake ilikuwa vichekesho tu!
Ni kweli maedeleo hayana chama-uwanja wa ndege Chato utatumiwa na Chadema, CCM, CUF na wengine wote! Watatumia barabara hiyo ya Chato yenye taa. Ama kweli maendeleo hayana chama.kama maendeleo hayana chama mbona Chato ndio unajengwa uwanja wa kisasa wa ndege na taa za mabararabi? maendeleo hayana chama lakini ni huyo huyo Raisi alikua kwenye mikutano ya kiserikali nakusema huyu mbunge ni chadema lakini rohoni ni ccm mkumbuke hakuna Mtanzania Mjinga tena
Hajichanganyi hao unaowaona wanafanya mikutano ndio wenye dhamana na hii nchi kupitia chama Chao Cha ccm kwa hiyo lazima wafatilie Kila sehemu Kama ilani yao inatekelezwa ipasavyo na raisi kasema hivi Kama unajimbo lako ulishinda uchaguzi fanya mikutano ili mradi usivunje Sheria maana unawambia wananchi unayoyafanya!kimsingi naona Yuko sahihi lakini Cha kushangaza ni kwamba pamoja na kupewa fursa hizo kwenye majimbo yao naona waliowengi hawafanyi hivyo Sasa sijui nikukosa Cha kumwambia wananchi na chakujiuliza kingine ni kwamba Kama majimboni mwao wanashindwa kufanya walivyoelekezwa na raisi ni wazi kwamba wanataka wananchi washinde wanaangalia mikutano ambayo Haina tija!fursa mmepewa fanyeni kwenye majimbo yenu Kama hamna hoja za kuwambia wananchi endeleeni kuka kimya namaliza kwa kusemaHuyu jamaa anajichanganya sana..,...........
Hivi Bashiru na Polepole wanaozunguka nchi nzima, hivi ni wabunge wa Chama gani??
Mbona Mashinji kila anapoenda kufanya mikutano ya ndani anaweka ndani na Polisi??
Msisahau lakini ule msemo unaosema MWISHO WA UBAYA AIBU!
Katiba inasemaje??Dr Bashiru na Polepole ni wajibu wao kuzunguka,kwa sababu chama chao ndio kinaongoza serikali,ni lazima wahakikishe ilani ya chama inatekelezwa kama chama kilivyoahidi,sasa Mashinji azunguke anakagua nn kwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
uwezi kuta tusi hata moja toka kwa wana CCM... Ila ktk nyuzi za hivi tegemea matusi toka CDM na wapinzani... mifano IPO... anza na huu Uzi mpaka mwisho utapata majibu...Tegemea matusi ya nguoni kutoka kwa vijana wa Lumumba buku 7.
Dr Bashiru na Polepole ni wajibu wao kuzunguka,kwa sababu chama chao ndio kinaongoza serikali,ni lazima wahakikishe ilani ya chama inatekelezwa kama chama kilivyoahidi,sasa Mashinji azunguke anakagua nn kwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app