Swali kwa Mhe. Rais: Umesema kila Mbunge wa jimbo afanyie mikutano kwenye jimbo lake je Bashiri Ally na Hamphery Polepole ni wabunge wa jimbo gani?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mod Naomba Msiunganishe Thread hii inaumuhimu wake maana nimaswali yanayoulizwa

Ndugu wadau leo kuna swali ambalo tunategemea majibu kutoka kwa Mhe Rais

Tumeona katimu Mkuu wa chama cha mapinduzi akitembea kila mkoa kwenye mikutano ya ndani na hadharani pamoja na katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi Hephrey Polepole lakini hakuna anayesema, kuwagusa wala kuwakemea. Watu wote na viongozi wote wapo kimya kama hakuna kinachoendelea.

Kwenye upande wa pili wa chama cha Upinzani Tanzania Chadema Katibu wake Mkuu Vicent Mashinji akiwa kwenye vikao vya ndani vya chama chake tumeona anavyokamatwa na polisi na kuzuiwa pamoja na viongozi wengine wa Chama hicho kikubwa hapa nchini

Swali

1)Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mwenezi wa ccm Polepole wao niwabunge wa Jimbo gani na Chama Gani? je Tunamuongopea Mungu au Binadamu? Je Tundu Antipas Mugwai Lissu akiambia Dunia kuwa hakuna Demokrasia Tanzania anakosa gani? Je umeshangamua kuwa Dunia sasa hivi nikijiji kila ukifanyacho kinaonekana nisawa na kila Ukipandacho ndio utakachovuna?

2) Mkuu wa wilaya, Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi, watendaji wa kata na watarafa hao wote niwanachama na viongozi wa ccm bahadhi je hawatoshi huko majimboni mpaka hao wawili polepole na Bashiru wazunguke je hizi si fujo kwenye majimbo yawapinzani?

Mfano uliyo hai: Tukumbuke Mbunge wa Jimbo hili ni Godbless J. Lema je hizi si fujo jimboni kwa Lema ambapo ccm wanaleta?

Ndugu Denis Zakariah Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akisikiliza kero za wafanyabiashara wa soko la kilombero leo .Hapa kazi tu.
katibu1.jpg
 
Huyu jamaa anajichanganya sana..,...........

Hivi Bashiru na Polepole wanaozunguka nchi nzima, hivi ni wabunge wa Chama gani??

Mbona Mashinji kila anapoenda kufanya mikutano ya ndani anaweka ndani na Polisi??

Msisahau lakini ule msemo unaosema MWISHO WA UBAYA AIBU!
 
Tatizo lipo kwa baadhi ya viongozi wa Dini kuwa wanafiki sana walipaswa waongee Ukweli kuwa hakuna usawa kwenye kufanya siasa kwenye Utawala huu wa wasukuma wawili toka kolomije na chato.
 
Dr Bashiru na Polepole ni wajibu wao kuzunguka,kwa sababu chama chao ndio kinaongoza serikali,ni lazima wahakikishe ilani ya chama inatekelezwa kama chama kilivyoahidi,sasa Mashinji azunguke anakagua nn kwa mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
no no siyo ukweli kabisa hapo unakua ujabalance demokrasia maana wewe uwezi kuzunguka ile hali wenzako wanakamatwa wakifanya hivyo hivyo hizo ni fujo
 
Na chadema ni halali kuzunguka sababu ni chama kikuu cha upinzani
Dr Bashiru na Polepole ni wajibu wao kuzunguka,kwa sababu chama chao ndio kinaongoza serikali,ni lazima wahakikishe ilani ya chama inatekelezwa kama chama kilivyoahidi,sasa Mashinji azunguke anakagua nn kwa mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mod Naomba Msiunganishe Thread hii inaumuhimu wake maana nimaswali yanayoulizwa

Ndugu wadau leo kuna swali ambalo tunategemea majibu kutoka kwa Mhe Rais

Tumeona katimu Mkuu wa chama cha mapinduzi akitembea kila mkoa kwenye mikutano ya ndani na hadharani pamoja na katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi Hephrey Polepole lakini hakuna anayesema, kuwagusa wala kuwakemea. Watu wote na viongozi wote wapo kimya kama hakuna kinachoendelea.

Kwenye upande wa pili wa chama cha Upinzani Tanzania Chadema Katibu wake Mkuu Vicent Mashinji akiwa kwenye vikao vya ndani vya chama chake tumeona anavyokamatwa na polisi na kuzuiwa pamoja na viongozi wengine wa Chama hicho kikubwa hapa nchini

Swali

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mwenezi wa ccm Polepole wao niwabunge wa Jimbo gani na Chama Gani? je Tunamuongopea Mungu au Binadamu? Je Tundu Antipas Mugwai Lissu akiambia Dunia kuwa hakuna Demokrasia Tanzania anakosa gani? Je umeshangamua kuwa Dunia sasa hivi nikijiji kila ukifanyacho kinaonekana nisawa na kila Ukipandacho ndio utakachovuna?

Mfano uliyo hai: Tukumbuke Mbunge wa Jimbo hili ni Godbless J. Lema je hizi si fujo jimboni kwa Lema ambapo ccm wanaleta?

Ndugu Denis Zakariah Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akisikiliza kero za wafanyabiashara wa soko la kilombero leo .Hapa kazi tu.
View attachment 1003365
Naamini wewe Mwanahabari Huru ni mtu makini tena uko vizuri katika uchambuzi wa masuala ya kisiasa. Lakini nikushangae kama hutambui kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM na hivyo basi viongozi wake kutembelea sehemu mbalimbali za nchi ni kuhakikisha kuwa inatekeleza kwa ukamilifu Ilani yake ya Uchaguzi.

Vivyo hivyo, viongozi wakuu wa vyama vyenye wawakilishi wanawajibika kutembelea maeneo yao kuhakikisha pia kuwa wateule wao wanatekeleza ipasavyo ahadi zao. Kama hawafanyi hivyo, ni udhaifu mkubwa wa uongozi kisiasa. Ila tunawaona muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii au na vyombo vya habari wakiitukana Serikali. Naamini ni kwa sababu hizi ndiyo maana viongozi wateule wao hukiama chama kwa kuwa wanafanya kazi katika hali ya ukiwa.

ITAWAGHARIMU SIKU YA SIKU
 
no no siyo ukweli kabisa hapo unakua ujabalance demokrasia maana wewe uwezi kuzunguka ile hali wenzako wanakamatwa wakifanya hivyo hivyo hizo ni fujo
Huo ndio ukweli,chama ndio kiliomba ridhaa kwa wananchi,na ilani ilitengenezwa kabla hata mgombea wa urais hajapatikana,hivyo ni wajibu wa chama kuhakikisha inasimamia utekelezaji wake,kwa sababu ni chama ndio kitarudi kwa wananchi kujibu ahadi ilizoziahidi,nimejitahidi kutumia lugha nyepesi unielewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom